katuni
Senior Member
- Dec 8, 2012
- 151
- 77
Habari wapendwa.
Mimi ni kati ya watu ambao tupo jf na tunaonaga mara kwa mara watu wakiibeza biashara ya forex. Tunachokifanya tunaishia kusoma comments na kutulia tu. Mnaoamini kwamba forex ni magumashi aisee endeleeni kuamini, na mnaoamini kwamba hii ni BIASHARA endelea kuamini na kujituma ili uijue hii kitu.
Ok, ok,
Kaka, Forex ina vitu vingi sana. And inahitaji ADABU, haihitaji TAMAA kwamba ufanye trading leo na kesho kutwa uje ununue nyumba na magari. Kaka, forex inahitaji kwanza uyatafute maarifa, kisha pesa ndo itakutafuta wewe.
Kuchoma account.
Kwenye kujifunza hii mimi binafsi nishachoma account kadhaa. Dollars kadhaa nishaunguza. Ila nilijipa moyo kwamba nitashinda tu na nilikuwa nina moyo huo kweli kweli. Nilipambana sana kutafuta maarifa. Semina lukuki nishahudhulia za kulipia na za bure.
Kitu ambacho sikukifanya ni kununua signals kwa mtu. Nilijiambia, kwani huyu anayetaka aniuzie signal yeye hizo signal anazipata wapi?. Nikapata jibu kwamba anapata signal kwa kufanya uchambuzi wa soko na news. Anafanya uchambuzi kwa kuwa anajua kuchambua. Nikajiambia, bora nimsumbue muuza signals hata kwa kumlipa ili anipe somo la forex.
Kaka, mimi nakuambia, wewe mnunua signal, huyo anayekuuzia zignal mkabe, msumbue, mlipe pesa, ili akufundishe ujue kupata signal wewe mwenyewe.
Ok, ok,
Strategy
Binafsi nishatumia strategies ila hatimae nikaja kugundua kitu fulani kidogo sana na ndicho kilichonipa majibu ya kautafiti kangu.
Kaka, nimegundua strategy ambayo ni uhakika kwa 100%. Hii strategy hauset kitu chochote kile kwenye mt4 yako. Bali kuna app fulani utaitumia kwa timing fulani na ni uhakika wa kupata profit.
Kaka, strategy hii hautahangaika kuisoma chart yako kabisa. Yaani zile candlessticks hatuzifuatilii kabisa.
Kwenye hii strategy hutakiwi kukalili pair, bali unatakiwa wewe ndo uunde pair iliyo na fursa.
Adui hii Strategy ni NEWS. Hivyo kukiwa na News inabidi utrade news. News ikipita tunarudi pale pale. Na news ikipita tu tayari kuna fulsa nyingine inakuwa imezalishwa, na hata kabla ya News kuna fulsa pia.
Note : Kwenye forex usidharau NEWS kabisa.( weka kichwani hiyo )
Hivyo nitakutumia link ya hiyo app ninayoitumia kisha nitakuelekeza tekiniki za kufanya. Aiseee baadaye nitaomba mlete mrejesho humu.
Now, forex ni gharama kuijua. Hivyo kukupa maelekezo juu ya hii strategy lazima unilipe kaka. Ni Dollars 50$ Haipungui.
Njoo PM