Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

*MBEGU YA TO 135 F1* Sifa Kuu 1. Ina matunda Makubwa na Magumu. 2. Inazaa Sana....Hadi kg 10 kwa mmea mmoja ikitunzwa vizuri 3. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko wa Bacteria (Bacterial Wilt...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu mimi ninaomba msaada, Kwa yeyote anayejua niko Mwanza nina gari langu nataka liuza lakini sijui nianzie wapi, na nina shida haraka. Kwa yeyote anayejua ni wapi naweza gari...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu. Nahitaji butcha ya kukodi jijini Dar es saalam. Kwaajili ya kuuza nyama ya ng'ombe, kama ikiwa navifaa baadhi itakuwa vizuri zaidi. Ila hata kama haina vile vifaa basic za...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Heshima kwenu wakuu. Nahitaji bucha ya kukodi jijini Dar es Saalam kwa ajili ya kuuza nyama ya ng'ombe, kama likiwa na vifaa baadhi itakuwa vizuri zaidi. Ila hata kama halina vile vifaa basic za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kinapatikana BUNJU B njia ya kuelekea/kwenda mwabepande. Ni karibu kabisa na kota za TIB 2km kutoka BAGAMOYO road Kiwanja kina hati miliki. Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1608 Huduma muhimu zote...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Nipo Dar printer ya kusafishia picha aina ya canon pamoja na betri lake la kuichajia vinauzwa kwa shilingi laki moja na kumi (110,000/) tuwasiliane kupitia 0714306015
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf, Bila kuchelewa twende kwenye mada kama kichwa kinavyo jieleza natafuta soko la mihogo mibichi, Huku nilipo Morogoro Turiani mihogo mibichi inapatikana kwa wingi tu nna mpango...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Habari, Nahitaji msaada wenu wadau,ni wapi naweza kupata maziwa ya n'gombe kwa wingi zaidi na kwa bei nafuu, nahitaji maziwa ya n'gombe original kutoka kwa mfugaji ikiwezekana, na sio ya kutoka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza kiwanja chenye ukubwa mita 50*40 Kiwanja kipo umbali wa km 2 kutoka barabara kuu ya kuelekea Mbande Kiwanja kipo eneo linaitwa Kitonga Mbagala. Kiwanja kinauzwa kwa bei ya Tshs mil 4 Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kwa anaefahamu bei ya gunia moja la vitunguu mkoa wa mbeya au Iringa anijuze
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Updates: Wakuu, Nashukuru sana kwa ushirikiano wenu. Hatimaye nimepata Noah na kuilipia. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ Wakuu, Changamkeni deal hilo hapo...
0 Reactions
4 Replies
884 Views
Ninatarajia kufuga mbuzi wa maziwa wapatao kama 10 hivi kwa ajili ya matumizi ya maziwa ya Familia. Ninaomba ushauri ni wapi naweza kupata mbuzi majike 9 na dume 1 wa kisasa kwa ajili ya maziwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda kuja mbele yenu, wadau na wapenzi wa masuluhisho ya changamoto za kijamii kwa kutumia mifumo ya kidigitali, sasa nimewaletea Application inayoitwa SafariPoa. Application hii inakuwezesha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari, Ninauza kiwanja mkoa wa mtwara. Mahali: ziwani/mtawanya Bei: 1,500,0000 Ukubwa ni nusu eka. Kipo katikati ya makazi ya watu siyo shamba. Pia kuna minazi, migomba na maji yako karibu...
0 Reactions
5 Replies
880 Views
Bei ni 250,000/= Imetumika. Ni nzima lakini Kioo cha juu kimepasuka. Tofauti na kioo haina tatizo zaidi. Picha:Sijaweza kuambatanisha picha kwa kuwa ninatumia des. comp. Mnunuzi tuwasiliane kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Bajaji ipo katika hali nzuri kabisa, imetunzwa. Injini ipo Moto, hajaguzwa Ipo barabarani inafanya kazi Vibali vyote halali vipo Bei Tsh 3.4 Million Maongezi yapo Ipo Korogwe -Tanga Piga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa bei gani naeza pata trailer kichanja zile used ambazo imported au zile kutoka kwa mtu hapa bongo zile za kichanja. Je, kwa bajeti ya milion 15 naeza pata trailer nzuri kabisa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nsombo and Company limited. Wanauza Godown lililopo mitaa ya forest barabara ya kwenda hospitali ya mkoa karibu na MSD. Kwa njia ya mnada wa hadhara siku ya jumamosi tarehe 14.12.2019 saa 4...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninauza kiwanja Million 10 nafungua majadiliano kwenye bei. Kiwanja ni kikubwa kipo Kisesa eneo la Mwandulu. Urefu 42 na upana 36. Kiwanja ni changu kimepimwa, upimaji shirikishi. Kiwanja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Brand - Archos Model - 80 Cesium Battery - 4000 mAh Processor - 1.8GHz Quad core Internal storage - 16GB Expendable storage Software - 8.1 Windows Wifi ✅ Bluetooth ✅ Display - 8.00 inch Price...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Back
Top Bottom