Wapi naweza kupata mbuzi wa maziwa?

Wapi naweza kupata mbuzi wa maziwa?

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Ninatarajia kufuga mbuzi wa maziwa wapatao kama 10 hivi kwa ajili ya matumizi ya maziwa ya Familia.

Ninaomba ushauri ni wapi naweza kupata mbuzi majike 9 na dume 1 wa kisasa kwa ajili ya maziwa. Ikiwezekana pia nipate wastani wa bei ya kila mbuzi. Nitashukuru kama nitapata ushauri mzuri utakaoniwezesha kuanza huo mradi.
 
Kama humu jf umekosa jibu isikuvunje moyo tafuta magrup ya wafugaji mengn uombe huko mm pia nahitaji 5 wa kawaida nipo mkuranga
 
Back
Top Bottom