Napenda kuja mbele yenu, wadau na wapenzi wa masuluhisho ya changamoto za kijamii kwa kutumia mifumo ya kidigitali, sasa nimewaletea Application inayoitwa SafariPoa. Application hii inakuwezesha kufanya mambo ya fuatayo
1. kukata ticket ya bus kwenye simu yako
2. Kutafuta na kupata gari ya mzigo na kutuma mzigo wako
3. Kutafuta na kupata gari private/binafsi (maarufu kama hakuna kulala) zinazosafiri muda wote 24 hrs ikiwa unasafari ya dharura
Pia
Application hii inawawezesha madereva wa private cars na gari za mizigo kushare safari zao na wateja waliopo eneo husika wanaotaka kusafiri kuelekea unapokwenda dereva kufanya booking zao, kwa kuwa watu wengi hupata dharura na huhitaji kusafiri kwa usafiri wowote utao patikana.
Karibuni kuijaribu na kutoa maoni yenu pia
Wasalaam
play.google.com

SafariPoa - Apps on Google Play
SafariPoa tumerahisisha zaidi ukataji wa ticket za magari na kupata gari ya kusafirisha mizigo yako Ukiwa na SafariPoa utaweza kuchagua route unayotoka, unayokwenda kisha utaandika gari unayotaka kupanda, baada ya hapo SafariPoa itashughulikia ombi lako na utapokea taarifa za ticket yako kwenye...