Nahitaji Toyota Noah - Ofa TZS 11,000,000/= Cash!

Sanjara Honey

Member
Jul 1, 2009
71
32
Updates:
Wakuu,
Nashukuru sana kwa ushirikiano wenu. Hatimaye nimepata Noah na kuilipia.

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Wakuu,

Changamkeni deal hilo hapo.

Sihitaji gari la kugeuzwa VETA. Usajili kuanzia T XYZ DQ....

Mwenye nalo tuwasiliane kwa PM au kupitia email: sanjarahoneytz@gmail.com
 
Ongeza Pesa kidogo uagize Japan magari yameshuka Sana bei msimu huu wa sikukuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom