Nauza fremu ya biashara soko la Tegeta Nyuki

Ander2011

Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
10
Reaction score
3
Fremu inaangalia soko la mihogo na matunda, ina ukubwa wa 9,11 ft. Nilikua naipangisha kwa 100,000/= kwa mwezi. Kama unahitaji tuwasiliane kwa 0624074570
 
Ulikuwa unaipangisha 100,000 kwa mwezi, sasa hivi unapangisha kwa ngapi?
 
Najaribu kuwaza kwa sauti tu ila sina lengo baya mleta mada.....

Gharama yake 9,500,000/=, Kodi kwa mwezi ni 100,000/= nikichukua 9.5m kugawakwa laki moja kwa mwezi ni miezi 95, hii ni sawa na miaka 7.916 almost 8 maana yake nikiinunua nikaipangisha kwa laki moja kwa mwezi itanichukua miaka 8 kurudisha hiyo milioni 9 na laki 5................

Umewaza vyema kuiuza mkuu, iuze tu upate milioni 9 unusu hizo.
 
Ni centre nzuri k

Unaweza kufanya biashara pia kwani ni centre nzuri kwa biashara na hutalipa kodi kwani ww ndio utakua mmiliki
 
Back
Top Bottom