Mitsubishi Rosa inauzwa milioni 4.5 tu

Mitsubishi Rosa inauzwa milioni 4.5 tu

Mr.panya

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
248
Reaction score
279
Habari wakuu,

Nauz gari aina ya MITSUBISHI ROSA mayai. Iliharibika mashine nikaipaki gereji mpaka leo nimeshindwa kuikarabati kwa hiyo naona bora niisukume tu.

Makorokoro yake mengine yapo vizuri kama Gear box ipo vizuri, diff ipo vizuri, chassis, ekzel n.k

Bei milion 4 na nusu (4,500,000)

CONTACTS: 0714088984
LOCATION: ILALA DAR ES SALAAM

IMG-20200102-WA0002.jpeg
IMG-20200102-WA0006.jpeg
IMG-20200102-WA0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaah, maisha yapo tofauti sana...!
 
Habari wakuu,

Nauz gari aina ya MITSUBISHI ROSA mayai. Iliharibika mashine nikaipaki gereji mpaka leo nimeshindwa kuikarabati kwa hiyo naona bora niisukume tu.

Makorokoro yake mengine yapo vizuri kama Gear box ipo vizuri, diff ipo vizuri, chassis, ekzel n.k

Bei milion 4 na nusu (4,500,000)

CONTACTS: 0714088984
LOCATION: ILALA DAR ES SALAAM

View attachment 1310745View attachment 1310746View attachment 1310750

Sent using Jamii Forums mobile app
WATU WA KUTENGENEZA MAJIKO WATAKUONA
 
Back
Top Bottom