Nahitaji chumba maeneo ya Ubungo, Mlimani City, Sinza, Mwenge na Makongo

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
466
538
Za wakati huu wanajamii forum

Maisha yapo tofauti wakati mwingine na wakati mwingine huna.

Naombeni anayefahamu chumba kinapangishwa maeneo hayo ya M Cityity, Savei, Mwenge, Ubungo, Sinza, Makongo, External, Msewe, Golani, Riverside na Hostel.

Pakiwa karibu na M.City nipo tayari kutoa 40k au nikikosa kabisa 50k.

Ikiwa ni Ubungo, Msewe, Riverside, External, Golani na maeneo mengine, ningepata cha 25k, au 30k au 35 au 40k ningefurahi sana.

Ningekua na hali nzuri ningetafuta kupitia dalali ila kwa sasa financial siko poa wapendwa

Anayejua aniPM please

Natumai nitapata.

Wenu mtiifu

Sp

Super leta

2019

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unataka kufanikiwa tumia dalali bila hivyo kutafuta mwenyewe itakusumbua
 
Kwa hizo locations unazohitaji na kwa budget yako, utapata chumba chenye fangasi na choo cha mlango WA bati.

Mlima city ×
Savei ×
Mwenge ×
Sinza×
Makongo×
(N.b kwenye × Hayo maeneo ni ngumu kupata)
UBUNGO ( river side au hostel) unaweza pata but nadhan ni kuanzia 50k+.
Ushauri
Kwa budget yako tafuta maeneo ya pembezoni mwa mji kidogo/ au kama uko chuo either udsm or ardhi basi jitahidi upate hostel za ndani or upate best for cost sharing ( i.e renting)

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitapata mkuu kwa m.city mwenge savei 50k vipo kwa ubungo vya 40k na 50k vipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom