Wapi naweza pata Jiko la Moto Poa kwa Dar es Salaam?

ngebo

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
1,679
2,105
Habari wazee, kuna majiko fulani yalikua maarufu sana miaka ya 2008 mwenyewe nilishawahi tumia home,nimejaribu kutafuta sahivi nimekosa, kwa mwenye kujua wapi naweza pata kwa Dar naomba anijulishe maana namba zao hazipatikani na hawana account social network yoyote.
Picha hiyo hapo chini
images%20(14).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wazee, kuna majiko fulani yalikua maarufu sana miaka ya 2008 mwenyewe nilishawahi tumia home,nimejaribu kutafuta sahivi nimekosa, kwa mwenye kujua wapi naweza pata kwa Dar naomba anijulishe maana namba zao hazipatikani na hawana account social network yoyote.
Picha hiyo hapo chini View attachment 1358389

Sent using Jamii Forums mobile app
+255718230117 wasiliana na huyo wakala ni kweli mazuri anaitwa dada Irene
 
Ubungo kama unatoka mwenge kwenye daraja kushoto karibu na m a chine ya mbao
Habari wazee, kuna majiko fulani yalikua maarufu sana miaka ya 2008 mwenyewe nilishawahi tumia home,nimejaribu kutafuta sahivi nimekosa, kwa mwenye kujua wapi naweza pata kwa Dar naomba anijulishe maana namba zao hazipatikani na hawana account social network yoyote.
Picha hiyo hapo chini View attachment 1358389

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile mbinu ya marketing iliyotumika sio ya awamu hii😁😁😁😁😁
 
Habari wazee, kuna majiko fulani yalikua maarufu sana miaka ya 2008 mwenyewe nilishawahi tumia home,nimejaribu kutafuta sahivi nimekosa, kwa mwenye kujua wapi naweza pata kwa Dar naomba anijulishe maana namba zao hazipatikani na hawana account social network yoyote.
Picha hiyo hapo chini View attachment 1358389

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikutumie namba ya jamaa alinipitishia juzi Kati,

0767 008 531

Mcheki kwa namba hiyo mwambie nahitaji majiko yanayotumia mafuta ya nyonyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom