Nahitaji chumba maeneo ya Kimara, Mlimani City, Mwenge, Ubungo, Makongo, External na Sinza

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
466
538
Za wakati huu wana JamiiForums,

Maisha yapo tofauti wakati mwingine na wakati mwingine huna.

Hata Kimara sawa tu ila tu kisiwe mbali na kituo cha bus. Cha muhimu kuwe na magari yanayopita Mlimani City kwenye eneo husika.

Naombeni anayefahamu chumba kinapangishwa maeneo hayo ya Mlimani City, Savei, Mwenge, Ubungo, Sinza, Makongo, External, Msewe, Golani, Riverside na Hostel.

Pakiwa karibu na Mlimani City nipo tayari kutoa 40,000 au nikikosa kabisa 50,000.

Ikiwa ni Ubungo, Msewe, Riverside, External, Golani na maeneo mengine, ningepata cha 25,000 au 30,000 au 35,000 au 40,000 ningefurahi sana.

Ningekuwa na hali nzuri ningetafuta kupitia dalali ila kwa sasa financial siko poa wapendwa

Nina shida sana navyo plzz

Anayejua aniPM please. Natumai nitapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom