Plot inauzwa ipo Upanga
Ni ya pili kutoka beach
Size 1700 SQM
Bei 450,000/= USD
Maongezi zaidi njoo WhatsApp no +255756060183
Karibu kwenye ukulasa wetu wa Instagram kwa mahitaji ya nyumba...
Inahitajika feni iwe na upepo wa kitosha na nzuri, nipo Dar.
Budget yangu ni 20k yaani 20,000.
Uwe Dar
Nicheki pm
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari, wana JF
Nauza mashine yang ya kuvunia mpunga(brush cutter machine) two stroke engine.
Bdo mpya kbsa, ina mwez tu,
Nakupa na panga zake mbil za ziada ya kukatia majan magumu(ng'ombe) na...
Kwa finishing nzuri za ofisi, na majumbani,
tunapatikana dar es alam
Tunafanya kazi popote TZ na nje ya TZ
Mawasiliano 0756967010 / 0714690899
au madogodaniel@gmail.com
0748036666/0679531937
IST KALI SANA
YEAR:2003
ENGINE:1490cc,1NZ VVTI
HAINA TATIZO/HAIDAIWI/FULL AC
Bei:Milioni 7.8
IPO:KARIAKOO
Sent using Jamii Forums mobile app
*Nawasalimu kwa majina matakatifu wana jamvi*
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa juu ya mbegu za Chia (CHIA SEEDS).
Kwa utafiti wangu nimegundua kuwa mbegu hizo n chakula bora mbadala na hakika...
Mezani leo, kwa wale wapenzi wa Motorola na simu unique...
Motorola z2 Force
Ram 4 gb
Storage 64 Gb unaweza ongeza na memory card pia
Duo cameras
battery 2730 mAh
Front fingerprint
Unaweza...
[emoji813]️ V A L E N T I N E WEEK [emoji813]️
Nothing says [emoji7] I LOVE YOU [emoji8] like a good #IceCream and a #CupCake Give away.
We are spreading love [emoji177] #SelfLove #FriendshipLove...
Nahitahi hii simu Nokia 1280 kwa wakazi wa Dar mnilekeze nitaipata wapi ikiwa mpya na original natarajia kuingia huko kesho kama unayo mpya na box lake njoo hapa
Jipatie asali bora kutoka Sikonge Tabora kwa bei poa....
Lita 1 = 10,000/= tuu.....
Lita 5 = 45,000/= tuu.....
Tunapatikana Dar na Tabora....
Mikoa mingine tunatuma pia....
Kwa mawasiliano tucheki...
Inverter solar for sale
Wale watumiaji wa sola
Inverter aina ya HAIFA inauzwa
W300VA
output voltage 220v
Input voltage 12Dc
Kwa anae hitaji njoo inbox
Au nipigie 0624603756
Njoo na bei yako...
Biashara nyingi sana hufa,sio kwa kukosa mtaji bali ni kwa kukosa wateja
Ukifuatilia kwa karibu hutasikia kwamba kuna biashara eti ili kufa kwa sababu ilikosa mtaji,nyingi hufa kwa kukosa...
Property Investors Company inakuletea viwanja Karibu na fukwe ya Bahari ya Hindi
Eneo: Kigamboni (Gezaulole)
Fukwe: Bamba beach
Bei: 32000 kwa mita mraba (squaremeter)
Umbali: 3 km kutoka...
Kama umepata shida yoyote kwenye gari yako usiangaike wasiliana nasi kwa msaada wa haraka.
Tunapatikana Tabata Magengeni
Mawasiliano
0693536083
0716505153
Sent using Jamii Forums mobile app
AS-SALAAM ALAYKUM MARAFIKI ZANGU HAMJAMBO?
Mimi ninauza vikapu vya kwendea Sokoni jamani kwa mtu mwenye kuvitaka kila kikapu shilingi Elfu 60 za Tanzania.
Kama kuna mtu anahitaji hivyo Vikapu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.