Shamba la Korosho ekari 20 linauzwa

Shamba la Korosho ekari 20 linauzwa

noel oga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2015
Posts
277
Reaction score
230
Wakuu habari zenu,

Napenda kuwajulisha kuwa shamba lenye ukubwa wa ekari 20 linauzwa hapa manyoni likiwa na miche yake ya korosho lina jumla ya miche 900 na zaid na tayari lina uzao wa kwanza baada ya miaka 3 toka kupandwa kama picha inavyoonyesha hapo chini.

Shamba lipo eneo nzuri na barabara kwa kubeba korosho zako
Bei ni 75million.

Nitafute kwa mawasiliano 0788479084

B9885274-7934-4452-9542-6218FF293601.jpeg
E43046AB-B340-44EF-A324-2A89D298F0A0.jpeg
A69F8051-7002-413E-BB33-351C57F964C1.jpeg
164DCF53-7BD2-4526-B98F-8D1F2190E36A.jpeg
3A4B090C-B450-4976-8E2C-F9DFB0CC03A1.jpeg
 
Hivi mzee baba alishawalipa wale wakulima pesa zao? Au ndio aliwa mind baada ya kumletea upepo wa kisulisuli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom