Biashara ya asali dar es salaam

Biashara ya asali dar es salaam

The Hood

Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
47
Reaction score
17
Wana JF naomba kujua sehem ambayo naweza pata mteja wa asali kwa hapa dar es salaam awe ni individual au ni company. Nataka kuleta asali kutoka mikoani na kuiuza hapa Dar, ningependa kwa yoyote anayejua wanunuzi wa asali aniambie. Thanks in Advance!

Note: If you know nothing about this bizness na huna ushauri wala maoni ya kunipa, you better walk away.

***kama uta-comment ujinga count yourself stupid***
 
Umekuwa mkali utakosa wachangiaji...asali yako ni ya wapi, je ni ya makapi au maji!? Unarina mwenyewe au unanunua...mm ni muuzaji wa asali njoo inbox tuongee zaidi
 
Back
Top Bottom