Cc 1590 nayo inakula mafuta mkuuu embu nipe somoKinara wa kula mafuta!!....Yeye hufikiri mafuta ni maji!![emoji847][emoji847][emoji847]
Sionagi ufahari wa kuwa na gari zuri alafu inakula mafuta. Noanaga ulimbukeni tuKinara wa kula mafuta!!....Yeye hufikiri mafuta ni maji!![emoji847][emoji847][emoji847]
ungemtukana.. hajui gariUnaua mkuu, upo mbali sana
ungemtukana.. hajui gariUnaua mkuu, upo mbali sana
upuuzi achakula 5 mkuu
Siku Nikipata Hela i will Buy BMW X6
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yakeSionagi ufahari wa kuwa na gari zuri alafu inakula mafuta. Noanaga ulimbukeni tu
msamehe yeye ni mzoefu wa vyura tuCc 1590 nayo inakula mafuta mkuuu embu nipe somo
Huyo hajui magari, hiyo gari kwa hiyo cc itakua inakula makande na maparachichi haiwezi ikala mafuta kabisaCc 1590 nayo inakula mafuta mkuuu embu nipe somo
kula 5 mkuu
Hata mimi nilitaka kumuuliza swali hilo hilo, gari ya mwaka 2006 tena used, inawezaje kuwa mpya????Gari ni ya model 2006, yaani ina umri wa miaka 12 kisha heading yako inasema BMW MPYA!
Au neno mpya umelitumia kumaanisha nini?