Nahitaji Friji la biashara lenye mlango wa kioo

Jay10

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
716
536
Kama kichwa kinavyoeleza,

Mimi ni mjasiriamali mdogo, Nataka kuanzisha biashara hvyo nahitaj friji la mtumba {mtumba wa nje ndiyo bora zaidi} kwa ajili ya kufanya biashara.

Lisiwe limechonolewa na mafundi, Lifanye kaz 100%

Picha na being nitumie PM au
Whatsapp namba 0718321418
 
Mkuu mzigo huo nakupa gerentii mwaka mzima Leta 600..chash njoo tutoe vinywaji vikiwa baridiiiii uondoke na mzigo
IMG_20191118_173945_9.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom