Njoo upate shamba ulipe kwa awamu mbili, linauzwa laki 9 lipo Kilosa

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
441
350
Habari wapendwa poleni na majukumu.

Nauza shamba langu linapatikana mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya Kilosa - Mikumi.

Mkoa wa Morogoro
Wilaya ya Kilosa
kata ya zombo
Kitongoji cha Kipera Changarawe
ukiwa unaenda unashukia mlima wa togwa barabara ya kilosa kwenda mikumi

Jina la mwenyekiti wa serikali ya mtaa Kassim Nyuki

Shamba lina ukubwa wa heka 3 {70*70}*3 shamba lipo katika hali nzuri halina visiki wala miti mikubwa nilisha lisafisha ila kuna majani tu yaliyo ota kutokana mvua zinazo endelea kunyesha.

shamba ni mali yangu halali kabisa . Hakuna wanyama wa kula mazao ni mahali salama kabisa kwa ajili ya kilimo cha aina zote.

Unawezakuafanya kilimo cha mazao yafuatayo:
*ufuta
*mihogo
*kunde
*mahindi
*mtama
*pia unaweza ukafanya ufugaji kwani maji hayapo mbali ni wastani wa mita 3 kwenda chini unapata maji
*pia unaweza ukafanya kilimo cha miti ya mbao

SHAMBA NAUZA HEKA TATU KWA PAMOJA SAWA NA SH 900,000 SAWA NA 300,000 KILA HEKA.

Mawasiliano: 0688 501810
NJOO ULIPIE KWA AWAMU 2
PESA INAHITAJIKA HARAKA.


82364915_493824591337011_7019523819337416704_n.jpg



82364915_493824591337011_7019523819337416704_n.jpg


Attachments:
Karibuni sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom