Natafuta chumba Dodoma

Natafuta chumba Dodoma

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
474
Reaction score
622
Nahitaji chumba Dodoma kuanzia maeneo ya chuo cha mipango (miyuji) mpaka usawa wa mnadani, bajeti yangu ni 50000 naweza kulipa mpaka miezi mitatu kwa kuanzia, ikiwezekana ainisha na sifa za chumba hapa.

Natanguliza shukrani🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom