Nauza gari yangu ikiwa kwenye hali nzuri kabisa na haina tatizo lolote.Vibali vyote vipo active na haina deni lolote.
Automatic
Ac kali kama baridi La Urusi
6 cylinder
Gari iko Dar Kigamboni
Bei...
Nafuu Cars tumekuwa tukiwashauri watanzania kwa muda mrefu namna ya kuingiza magari toka Japan kwa bei Nafuu.
Na kwa sasa tumekuja na huduma ya PLAN B ili kutimiza ndoto za wanaotaka kumiliki...
Nyumba kubwa yenye vyumba vinne,sebule kubwa,dining,veranda,jiko,jiko lingine la nje na kijumba kidogo cha pembeni. Iko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 70 kwa mita 35.Iko vijibweni dar.Bei ni...
IPO WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM
INAUZWA MILIONI SITINI (60,000,000)
Vyumba vitatu chumba kimoja, master, dining pabric stoo jiko na sitting room
Huduma za kijamii zipo
Kwa maelezo zaidi...
Habari za jioni wana JF
Ninatafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi maeneo ya kunduchi, mikocheni ama kawe, kwa wale ambao wana ufahamu kindly pm me au niachie ujumbe nikupigie kwenye thread...
Habari wana JF,
Naomba msaada kuhusu biashara ya vitenge vya mafuta au Java, Mbeya vinauzwa 15000 kwa pieces 2/ doti, na 43000 kwa pieces 6 /jola, nasikia wananunua Dar kwa jumla. Naomba kujua...
ANAYE HITAJI NYUMBA (Dsm)
CHUMBA MASTER NA SEBULE NA JIKO, KIMARA KOROGWE DAKIKA 3 KUTOKA KITUO CHA CHA MWENDO KASI.
MALIPO (TSHS 160000/=) MIEZI 6, NIPIGIE MOJA KWA MOJA NA UWE SERIOUS PLZ...
Hand Mixer bomba ya keki
-Ni nzuri na imara sana.
-Hii ni Kenwood.
-Model ni HM800.
-Umeme ni 220V~240V,350W
50,000 TSh tu. [emoji336]WhatsApp / Call /sms+255713744304
Tunafanya delivery kwa Dar...
Ram 4gb
Storage 64gb
Camera 20 pixel
Faceunlock
Fingerprint....bei 300,000
Tunaandikishiana na kitambulisho cha kazi juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimepasua kioo cha LG flat tv inchi 32....nahitaji msaada kama naweza kupata kioo chake jamani....!nitashukuru sana hasa ukinitajia na gharama za hicho kioo ili niamua kutafuta hela ya kununulia...
Habari wana Jf sisi ni kampuni ya ukodishaji wa magari aina tofauti, na huwa tunawakodishia makampuni kwa muda kuanzia miezi sita hadi mwaka na sio chini ya hapo.
Bei ya ukodishaji wa gari moja...
Tunaunda mashine za kutotoreshea mayai ya ndege mfano bata,kuku,kanga n.k
Pia kwa wanao hitaji mashine kubwa kwa ajili ya kutotoresha kwa kiwango kikubwa tunaunda kwa bei nafuu
Kwa ambao pia...
Kama kuna vifaa vibovu tuavitengeneza na vitapona tena
Vifaa hivyo ni
Power ampifier
Music Booster
Power Inveter
Power Stabilizer
Driver machine
Power supply
Timers
Controls
Digital and analogy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.