Natafuta mayai ya kuku wa kisasa

Natafuta mayai ya kuku wa kisasa

Kigorohe

Senior Member
Joined
May 21, 2019
Posts
160
Reaction score
255
Habari zenu wana JF!
Natafuta wafugaji wa kuku wa mayai ili wawe wananilanguzia mayai na kwenda kuuzia wauza chips na mahotelini. Naombeni ushirikiano nimeamua nianze upya baada ya kuandika ule uzi wa kuumba msaada bila kupata mafanikio

Nipo Arusha maeneo ya Usa River ila popote ulipo ndani ya Arusha nitakufata. Karibuni
 
Mayai ya kisasa arusha mengi yanatoka huko maji ya chai,usa fuatilia hukohuko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana JF!
Natafuta wafugaji wa kuku wa mayai ili wawe wananilanguzia mayai na kwenda kuuzia wauza chips na mahotelini. Naombeni ushirikiano nimeamua nianze upya baada ya kuandika ule uzi wa kuumba msaada bila kupata mafanikio

Nipo Arusha maeneo ya Usa River ila popote ulipo ndani ya Arusha nitakufata. Karibuni
Mkuu mayai ya KIENYEJI hauitaji???
 
Kuna mama anaitwa mama kirenga yupo engo, ana kuku zaidi ya elfu kumi wa mayai, hata ukitaka tray mia kwa siku unapata
 
Ana kuku wengi sana, hata mwenge walimpitia mwaka jana
 
Back
Top Bottom