Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Series. 2960 Port. 24 SFP port. 2 kwa ajili ya fiber Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Habari wakuu, nina pool table zaidi ya 2 ninazikodisha dar es salaam, ni zipo kama mpya tu Nature ya kazi yangu imekua changamoto kwangu kuzisimamia Kama una eneo nzuri na ungependa kufanya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JF! Bila shaka mpo poa? Kuna huu mchongo kama ww ni mkazi wa Dar umepanga sehemu na kodi yako inakaribia kuisha comment hapo chini kodi yako na sababuu ya kuhama nikupe maelekezo...
1 Reactions
113 Replies
10K Views
Habari wanazengo Naomba kuuliza kuhusu Soko la unga wa ndizi kwa Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla . Je soko lipo na matumizi yake hasa hasa ni yapi nataka kujua kuhusu hii bidhaa. OneLove...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi JF Natafuta cabin / kichwa cha mitsubish canter kwa ajili ya kurekebisha gari yangu canter tipper iliyopata ajali. Sifa za cabin. Iwe ni ya canter mayai siyo box Iwe na dash body complete...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu Kwa yoyote alie kuwa anafanya biashara ya kuuza gesi na sasa kabadili biashara, anataka kuuza mitungi mitupu tuwasiliane. Nataka kuanza hii biashara so natafuta mitungi mitupu kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Asaalam, Kama nilivyojielezea hapo mwanzo, kwa mtu yoyote au mfanyabiashara wa nguo za kiume mjini Dodoma njoo nikuuzie nguo za kiume kwa bei ya DSM. Sababu za kuuza ni kufunga biashara yangu...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Je? Umekua ukihitaji kununua vitabu lakini Ujapata mahala sahihi ya kupata vitabu vizuri na vyenye ubora. Basi ondoa shaka, sisi tutakuhudumia vitabu vizuri na vyenye ubora kabisa. kwani tuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mashine iko vizuri haina tatizo hdd 250 GB ram 2 GB processor 2.0ghz duo core window 7 dvd raw battery 1hour haina adapter tu one usb sound card free iko arusha ilikuwa inapiga kazi za library...
1 Reactions
4 Replies
783 Views
Tata 709 ya mwaka 2017 ina kilomita 11000 tu imetumika miezi miwili inauzwa millioni 47 tu Ilikuwa imepiga kazi miezi miwili tu katika usambazaji Piga 0762612213 au 0744212129 ipo mbezi beach...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bei ni Sh.700,000/= Mawasiliano ;0653 118 453 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau,nauza unga wa lishe kwa watoto na family in General kwabei poa,1kg 3500 na nusu 2000..mchanganyiko ulezi.mahindi ya njano.mbegu za maboga.soya na ngano..napatikana kinyerezi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu. Natafuta mashine hii ya kuprint t shirt na vitu mbalimbali. Mwenye utaalamu naomba kujua -Bei -Brand Nzuri imara ni ipi -Wapi nitaipata Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari JF! IST inauzwa kwa 10.5M Cc 1290 Mileage 79,000kms Imetumika miezi mitano Vibali vyote vipo Ipo Temeke -Dar Es Salam Gari ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote Mawasiliano Piga /SMS...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Bei millioni 2 cash Toyota Corsa Engine EFI ( starlet) Capacity 1200 Inafanya kazi vizuri kabisa bado mpya Location Arusha Gari ni nzima jino moja unawasha na kuondoka.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Location : Dodoma-Hombolo kilipo chuo cha LGTI status: imekamilika kwa 65% Matumizi: kupangisha wanachuo Size : vyumba 8 Place: ipo katikati ya mji umeme wa kushusha tu. Price :26M land status...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wapi naweza kupata hii simu NOKIA na ni bei gani
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nauza TCL smart tv inch 32 haina tatizo lolote ...bei 320000 ipo Ukonga Markaz namba: 0718334325 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nyumba inauzwa , mahali ilipo ni ni miembe saba, Kibaha mjini , ni nyuma ya tatu toka sheli ya panone , opposite kiwanda cha kusindika chakula cha kuku na binadamu cha Energy. Sifa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Square meter moja 10000 .viwanja vimepimwa na vipo ndani ya mradi wa East busweru . Anayehitaji aje pm
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom