Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa Huduma Bora na Uhakika. Karibu kwa Matatizo yoyote ya Generator lako. Kama unauza au unataka kununua njoo ofisini kwetu. Pia tunafanya Maintenance service kwenye Engine na Ac alternator/Kinu...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Nauza RAV4 KILITIME Gari ni nzima inawaka na inatembea Ila inahitaji repairs kidogo kwenye bodi Yani rangi Pia site mirrors ni za kununua nyingine Automatic Cc 1998 Vvti engine Milango mitano Nina...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari, Nauza diplayed fridge la ice cream Limetumika ndani ya miezi 4 tu. Linafaa kwa kuuzia ice cream, nyama nk. Unaweza kulitumia supermarket au hata duka la kawaida. Halina tatizo lolote...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Najua suala la elimu kila mtu ana njia zake ambazo zilimfanya ikawa rahisi kwa upande wake mimi nina njia zangu ambazo zilinifanya nikaona kufaulu ni jambo rahisi pia natoa notes za olevel na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa nyamongoro INA v2 sebule selfu nyumba mpya kabisa inajitegema kila kitu zimo nyumba mbili ndani ya fence kila moja inajitegemea fence yake inapangishwa million tatu kwa mwaka...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Kwa wale ambao mpo maeneo hayo au mna watu walio katika maeneo hayo naomba mnielekeze bei ya flat screen size 24 za aina yoyote zinazopatikana maeneo hayo ili nifanye maamzi ya kununua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba mwenye uwezo wa ku supply gunia 100 ya alizeti arusha aliyenayo anijulishe bei yangu ni 60000tsh kwa gunia .
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hiyo ndio March Price list ya viwanja vya Dodoma. Wahi Sasa ujipatie kiwanja kwa bei ya punguzo. Kwa mawasiliano simu au whatsap namba 0621399079. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
2K Views
HABARI NJEMA KWA WATU WOTE. Habari Yako Ndugu,,, Nimatumaini Yangu Kuwa Unaendelea vyema😀. Leo Tumekuja na ujumbe mzuri kabisa kwa Wale wote ambao wanamalengo makubwa katika Biashara Kwa kutumia...
1 Reactions
0 Replies
663 Views
Habari za weekend, tunauza suruali Aina ya kadeti Zina ubora wa juu, na zinadumu kwa Hali hiyo muda mrefu. Bei ni elfu 23 kwa Rejareja Offer ipo kwa mteja ukinunua kuanzia tatu utauziwa kwa elfu...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
ii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za muda huu, Natafuta mtu mwenye hoteli au mgahawa ambaye ntakua nampelekea kuku wa kienyeji kutoka singida vijijini kwa wingi Mfano, naweza kua nampelekea kuku 50 Kwa wiki au kuku 100...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu? Kwa yeyote anayeuza vifaranga vya bata aina tofauti tofauti pamoja na kuku tafadhali tuwasiliane. Pia naomba muuzaji ambaye hana limit na idadi niitakayo kwa maana sihitaji wengi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mfumo wetu unasifa zifuatazo 1.Unaweza kua na branch zaidi ya mmoja 2.Unaweza jua maresesho ya siku husiko 3. Unaweza generate cashbook kwa ajili yenye taarifa za mikopo iliyotelewa matumizi na...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Habari wakuu! Poleni kwa mihangaiko ya kutafuta riziki, lakini pia Mola mlezi mtukufu atukinge na janga hili la kidunia Covid -19 huku tukiendelea kuchukua tahadhari zilizoainishwa na wataalamu wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa SQM 2,400 jijini Dodoma, Kipo eneo la Itega, kimepimwa na kina Offer, Masharti ya kuendeleza ni ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja na kuendelea. Mwenye uhitaji ni-Pm.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello wana jukwaa, Natafuta monitor kama hii upana wa kati ya inchi 22 mpaka 27 Kama nikisaidiwa na bei itakuwa poa zaidi. Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Frigi inauzwa iko vizuri sana Inagandisha upande wa juu na chini inapooza kawaida Haina tatizo lolote lile Bei:280000/= Morogoro mjini 0716423838 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Ina vyumba vitano kwa ndani, bafu choo, na kuna vyumba viwili vya nje pamoja na eneo kubwa kwa nnje, nyuma na mbele. Eneo la mbele ni kubwa unaweza ongeza nyumba nyingine au fremu za biashara...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom