pumba ipi..ya mpunga au mahindi. Unaweza niunganisha na mtu nikampa kazi??Tabora gunia moja la debe sita sh 7000
Bei gani kwa gunia ?Kibaigwa inapatikana
Mkuu njoo utoe majibu uku ni pumba ya mpunga au ya mahindi ?Tabora gunia moja la debe sita sh 7000
pumba ipi..ya mpunga au mahindi. Unaweza niunganisha na mtu nikampa kazi??
Mkipewa jibu fanyeni kuntag.Mkuu njoo utoe majibu uku ni pumba ya mpunga au ya mahindi ?
Pumba za mpunga ndio 7000tsh kwa gunia,kuna sehemu nje ya mji ni 5000tsh, za mahindi 16000tshMkuu njoo utoe majibu uku ni pumba ya mpunga au ya mahindi ?
0654204692 kwa maelezo ya msaada na ufahamuPumba za mpunga ndio 7000tsh kwa gunia,kuna sehemu nje ya mji ni 5000tsh, za mahindi 16000tsh
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa 10000 tenaDuhh ka gunia ni elfu 10 , usafiri toka rukwa mpaka arusha itakuwa sh ngapi mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisaPumba za mahindi na mpunga zimepanda sana kwa sababu ya kusafirishwa kwenda kenya. Mpaka serikali itakapostuka miradi ya watanzania ya ufugaji kuku, nguruwe na ng'ombe itakuwa imekufa.
Hali vipi hii bei ya pumba,mashudu iko pale pale au umebadilikaRukwa hasa wilaya ya nkasi nilipo kwa sasa Pumba ya mahind 12000 ila kama unachukua nyingi hata 10000 mashudu gunia 10000 Pumba za mpunga 7000
Sent using Jamii Forums mobile app