Mashine ya kukausha viungo,nyama, samaki, matunda nk

Mashine ya kukausha viungo,nyama, samaki, matunda nk

Kipilipili

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2010
Posts
2,272
Reaction score
1,898
Inakausha vitu mbalimbali kama nyama, samaki, matunda, dagaa, viungo vya chai na pilau kama hiliki, karafuu, mdalasini,nk.
Ina trays 16 na inaingia kg32 kwa mara moja. Muda wa kukausha itategemea settings utKazoweka na unataka ikaushe kwa ubora upi. BEI TSH 1,650,000. Inatumia umeme wa nyumbani na ni stainless steel. Imara sana .
Duka lipo DSM kinondoni mkwajuni nyuma ya ccm. Simu/Whatsapp 0715316614.
IMG_20200313_145639_160.jpeg

.
 
Inakausha vitu mbalimbali kama nyama, samaki, matunda, dagaa, viungo vya chai na pilau kama hiliki, karafuu, mdalasini,nk.
Ina trays 16 na inaingia kg32 kwa mara moja. Muda wa kukausha itategemea settings utKazoweka na unataka ikaushe kwa ubora upi. BEI TSH 1,650,000. Inatumia umeme wa nyumbani na ni stainless steel. Imara sana .
Duka lipo DSM kinondoni mkwajuni nyuma ya ccm. Simu/Whatsapp 0715316614.View attachment 1389636

.
Bado zipo za kutosha

.
 
Mkuu unavikausha vitu kwa lengo ngani. Naomba elimu zaidi.
Kuna baadhi ya vitu matumizi yake ni mpaka vikaushwe. Vipo vingine hutumika ama vikiwa vikavu au vibichi. tumekuwa tunategemea njia za kienyeji za ukaushaji hasa kwa kutumia jua.
Matumizi ya njia hizi za kienyeji yana changamoto zake kama vile kuingia mchanga au takataka kwenye chakula. Pia kunapokuwa na mvua, ukaushaji hauwezi kufanyika.
Mashine imekuja kuondoa changamoto hizi na kuboresha ufanisi.
Pia mashine hukausha kwa lengo la kuhifadhi bidhaa isiharibike mapema na itumike kwa muda mrefu zaidi.

Rejea ukasuaji wa vingo kama hilili, karafuu, tangawizi nk.

Rejea pia ukaushaji wa samaki, dagaa, nyama nk.

Rejea pia ukausjaji wa nafaka.

Ukaushaji wabogamboga na matunda.

.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom