Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunapatikana keko ,ukifanya kazi nasisi tutakuletea hadi ulipo ,wasiliana nasisi kwa 0758006014 au tutafute instagram (rigid furniture Tz) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
101 Replies
16K Views
Toyota premio Year 2004 Cc 1490 New tyre Full document Price ml.13 Gari nzuri sana ipo Dar es salaam 0719909691 / 0763166893 Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Jipatie vifaa vya simu kama betri..charger..cover za simu..earphone..usb cable..memory card..flash..power bank..glass protector.. Tuna tuma mikoani kwa gharama za mteja.. Mawasiliano +255754660061
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu natafuta showroom ilokuwa nzuri ambayo inabei nzuri.. Na waaminifu kwenye gari zao sio showroom za mizengwe.. Shukran sana Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Nyumba ipo Mbezi Mwisho mtaa wa Msakuzi ipo karibu na barabara/Kituo cha Daladala. Nyumba hiyo ina vyumba vitatu. Price: TZS 26,000,000 (mwenye nyumba ana shida ya haraka kwahiyo kashusha bei)...
1 Reactions
53 Replies
11K Views
Kwa mahitaji ya kuku na mayai ya kienyeji naomba tuwasiliane kwa hizi namba 0788597559 Tunapatikana soko la kuku kisutu lakini pia tunakueletea mpaka ulipo bei zetu ni nafuu sana. Sent using...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wadau, Naombeni kujua gharama za wastani za ufundi wa kuweka Marumaru(Tiles), Maana kuna fundi amenitajia Gharama kubwa mno nikashindwa kuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
17 Replies
12K Views
Habarini. Nimeona si vibaya kuwafaidisha wana jamii. Niko na kigari changu aina ya IST kimepaki tu sababu matumizi yake ya mara moja moja sana kulingana na availability yangu jijini. Nimetoka...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari za muda huu; Nilikua naomba details za masoko ya maziwa dar. Nimepata connection ambayo inaweza ikanipa ltr 200+ za maziwa daily lakini bado sijapajua wapi naweza pata soko la ku push...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Habarini ndugu zangu.. Ninaomba tuwasiliane mwenye mwenye chumba cha kupanga maeneo ya mikocheni B, Chama au Msasani. Chumba kiwe self (kikiwa na sebule itapendeza) Maji uhakika..budget 150k...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
KIFAA CHA KUPIMIA MADINI ARDHINI(GOLD DETECTOR MACHINE) BEI: 5,500,000 (MIL 5.5) NAME : EQUINOX 800 MAHALI KIFAA KILIPO: DAR ES SALAAM KIPO KWENYE HALI NZURI TEL : 0759707883/ 0683126500
0 Reactions
4 Replies
12K Views
Kiwanja kina ukubwa wa sqms 625, Kina Boma lililofika usawa wa lenta Boma ni lina vyumba vitatu, viwili ni master,dining na sebule . Eneo..mwembe mdogo kigamboni. Bei..mil 18. Mawasiliano 0746...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Furahia ofa yetu mpya kabambe kwa waigizaji wote wa magari kutoka Japan, Dubai, Singapore, Uk, China, India, South Africa etc. Tunakutolea Magari Bandarini kwa Gharama ya 150,000 tshs. Tu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji Huawei P30pro used but clean and scratch less. Bei yake inaweza kuwaje,serious owner inbox. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
612 Views
Castor oil yanafaida zifuatzo 1. Hukuza na kujaza nywele. 2. Hundoa michirizi. 3.Hudoa chunusi. 4. Kuondoa MBA 5.Huondoa mvi Na faida nyingine nying. Bei. 120 mls ni 5000/= 250 mls ni 10000/=...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sofa laki mbili kila moja zipo tatu Meza moja elfu 50 tu Laini ya uwakala Mpesa laki moja na arobaini tu VYOTE PIGA SIMU 0716358293 na 0744051524 Friji ipo vizuri sana na inagandisha laki...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba iwe maeneo ya Mkolani, Nyegezi, Nyakato na Igoma. Chumba na Sebule Iwe na Jiko, Choo ya ndani, Tiles, Bei 50,000-100,000 isizidi. NiPM kama unayo tafadhari
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu nina biashara ya mchele pamoja na mpunga huku mkoani Tabora. Gunia la mpunga kwa huku nauza 70000 Mchele nauza 1300 kwa kilo kwa huku Nipo Nzega Tabora NB:Mchele wa Tabora na Shinyanga ni...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi nyoote. Wakuu naomba kufahamishwa bei na pahara wanapopatkana dagaa wakavu either wa Mwanza, Bukoba n.k kwa hapa jiji la Dar. Nahitaji wanaouzwa kwa kipimo cha debe (ndoo ya lita...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Toyo used inauzwa kwa bei Mil 2 kamili. Location, Chombo kipo Arusha Tengeru (Sanksi) Call: 0715-498589
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom