Fiat 682 n4 long chasis 22 ft | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fiat 682 n4 long chasis 22 ft

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Silicon Valley, Apr 22, 2012.

 1. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Gari ina hali nzurri sana, haijawahi funguliwa engine wala gearbox, ukihitaji na tela lipo, kwa mawasiliano zaidi piga simu 0754-646827 DSC08091-2.jpg
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni antique.

  Ikibeba mzigo pamoja na trailer (kiwango cha juu kinachokubalika ki mzani) inatumia mafuta lita ngapi kwa kilomita 1?

  vipi spidi? inakwenda kilomita ngapi kwa saa ikiwa na mzigo?

  Bei, pamoja na trailer?
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Weka Bei kabla sijakupigia
   
 4. M

  Mgengeli Senior Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka bei please mambo mengine ni ziada
   
 5. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Utanunua tyre na battery tu unondoka na mzigo wa tani 15 kichwa tu, hiyo gari chassis yake ni ndefu tofauti kabisa na zingine, ina uwezo wa tani 40 tambalale, kawaida yake ton 30 kupanda milima ikiwa na tela. spare zimejaa bei ya kutupa ukilinganisha na scania, Dar to mwanza tunapishana masaa 5 tu na scania 113, Bei POA SANA NIPE 13 mln tu wakati gari yenye uwezo huo huo scania 94 inauzwa 53 mln ikiwa mzee. maongezi yapo.
   
 6. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Kwa wale wajasriamali wenye ndoto ya sector ya usafirishaji na hawajweza kununua magari ya gharama hii ndio ngazi/daraja ya kupandio na hakika utawapiku wengi sokoni sababu inakula mafuta kidogo sana kuliko scania, uzito wa mzigo muko sambamba wote 30 tons sababu ya mizani hatasiku moja FIAT haikamatwi na mzani, Muda wa safari kwa mbali atawahi kati ya masaa 4-6 sababu ya traffic na police berrials na bumps barabani, Hivyo gharama za kununua CHINI, za Uendeshaji CHINI pia.
   
Loading...