Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Pikipiki ina 150cc engine capacity 5 gear box 180k/h speed red COLOUR 1,750km bei Million 2.1 tu 0652759293. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je ni zawadi ipi bora kuliko kuilinda familia yako msimu huu wa sikukuu? Nunua Dispensers 3 za Sabuni na Sanitizers kwa Jumla ya Tsh. 120,000 90,000/= Upatiwe na First Aid Kit iliyojazwa vitu...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
TANZANIA WOMEN IN BUSINESS (TWB) Inakuletea mafunzo ya kutengeneza Appetizer na pilipili kwa vitendo na theory. * Utapata receipts za bidhaa hizo zote za pilipili ya EMBE,ukwaju, na mbilimbi na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
-Nauza nyumba yangu, ambayo bado sijaezeka (boma limeshafika kwenye lenta), ina vyumba viwili (kimoja ni master), pamoja na sebule, -Nyumba (Boma) Ipo barabarani kabisa, ni umbali wa kilomita 1...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Uchumi wa kipindi hiki naona unabana, kutegemea chanzo kimoja cha mapato unakuwa mtihani mkubwa sana na umri unaenda kasi. Nataka nifanye uwekezaji kwenye ufugaji na kilimo...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
kwa wale wote wanaotafuta 1.viwanja vya aina zote 2.magari,pikipiki,bajaji 3.nyumba za kupanga 4.nyumba za kununua 5.nafasi za maofisi 6.Fremu naomba nifollow instagram kwa jina magaridodoma na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Details Price: negotiable Yes Condition: Used Abroad Current location: In Tanzania Import duty paid: Yes Transmission: Automatic Descriptions Toyota IST unregistered or chassis number for sale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa eneo la Luguruni, ni maeneo ya karibu na majengo mapya ya manispaa mpya ya ubungo Sasa opposite, Vyumba vya kulala vinne Ukubwa wa eneo ni robo ekari Nyumba ni mpyampya Pazuri Sana...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habariniii, Kama mada inavyojielezaa nahitaji Mbuzi wa maziwa kwa wale wauzaji na wakazi wa mkoa wa Mara ,Naomba tujulishane. Kama upo sehemu yoyote au mikoa jirani. Msaada tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini, Nimehamia hapa Dodoma natafuta sehemu gani ambayo ninaweza kununua fenicha za ndani nzuri yaani namaanisha quality kwa hapa Dodoma. Vilevile duka gani wanauza vyombo vya ndani kama...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Husika na mada tajwa , ninauza ukwaju kwa bei ya 1000 kwa kilo,inaweza pungua, utauchukulia shinyanga mjini, kwa wale wa zanzibar,dar au popote tujuzane, pande za azam bei iko vipi? msimu tayari...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Tecno spark4 2gb Ram 32gb storage 4G network Camera tatu yuma Bei Tshs 200,000 Simu ni yangu ninashinda na pesa 0684329230 nipo Dsm
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari waku, Bila kupoteza muda wala kupepesa macho, let's get down to business. Radio ni Technics Inataka 280,000 tu..kujitetea kidogo ruksa. Laptop Hp elitebook 8460p HDD 500GB RAM 4GB...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
FAMILIA YA JITAMBUE – FAJI SEMINA ZA ELIMU YA UTAMBUZI Familia ya Jitambue (FAJI) ni Umoja wa Wananchi wa Tanzania wanaojishughulisha na maarifa ya utambuzi. FAJI ni Taasisi iliyosajiliwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Karibu tunauza video games kwa ps na pc games na mabasi yana mwonekano wa mabasi ya Tanzania tunakuletea popote ulipo Dar es salaam na mikoani tunatuma pia tuchek WhatsApp 0621610096 Bei ni...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
GX INVESTMENT ni kampuni inayouza Bajaji za Tvs King na Haujue kwa bei rahisi sana Tanzania. bajaji za tvs matumizi yake ni kidogo mafuta tripu nyingi kwa siku,lita moja kwa kilometa 30 imara na...
0 Reactions
13 Replies
44K Views
1. Tunaunda inverter za aina zote. 2. Tunaboresha mifumo ya inverter zilizo tengenezwa tayari. 3. Tunaweka mifumo ya inveter charger,ili iwe inajichaji pale umeme unapo kuwepo,kama haina mfumo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kama maelezo yanavyosema naomba kujua bei ya pikipiki Aina ya Haojue kwa DSM asanteni
0 Reactions
5 Replies
3K Views
TO LET OFFICES FOR RENT AT BABATI MJINI, MANYARA. CALL +255754495252 OR +255755443394 FOR MORE INFORMATION. KARIBUNI SANA.
1 Reactions
0 Replies
538 Views
Urembo wa kisasa wa kupendezesha nyumba yako kwa bei nafuu hata kama nyumba yako imechakaaa wasiliana n fundi Watssap# 0759 327432 or PM Call 0756 017036. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom