Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ndugu poleni na majukumu, Nauza Pikipiki aina ya Tvs INA miezi mitano, bei ni 1.4million. Location Dar-mbezi Beach Makonde. Mawasiliano yangu ni 0718221009. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A free-standing residential or can be used as an office is available for rent. The house has three an suits bedrooms, living room extended to dinning area, guest toilet, close-up kitchen and two...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kujua bei za mabati ya Alaf kiwandani kwa migongo mipana
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Inakausha vitu mbalimbali kama nyama, samaki, matunda, dagaa, viungo vya chai na pilau kama hiliki, karafuu, mdalasini,nk. Ina trays 16 na inaingia kg32 kwa mara moja. Muda wa kukausha itategemea...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Wanajamvi Kwa wale walioko mikoa ya Shinyanga na Rukwa naomba kujua bei ya pumba ya mahindi na mpunga. Nahitaji kama tani 10 za pumba ya mpunga na mahindi
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Kiwanja chenye hati kinahitajika ,ukubwa uwe square metre 1000 au zaidi. Maeneo Goba au Bunju mwenye nacho anichek kwa; mawasiliano: 0765 494 548 Sent from my SM-J700H using Tapatalk
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika kipindi hiki cha janga la virusi vya CORONA (covid-19) tunafahamu sote mambo mengi yanaenda kidigitali(mtandaoni) zaidi hivyo utahitaji post zako ziwe za kuvutia kwa wafuasi na wateja wako...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau, Kuna kitanda cha mbao hapa chenye ukubwa wa 4× 6 kinauzwa Tsh. 80,000/= ila maongezi yapo bei inapungua tu usiogope. Hata kama upo mkoani unaweza ukatumiwa na ukakipata
1 Reactions
75 Replies
11K Views
Natafuta muuzaji wa jumla wa zabibu kavu pamoja na almond (ulozi) aliye Zanzibar. kwa sasa ninapata kwa mtu anayenunua toka huko sasa nataka nimtoe mtu wa kati niagizie moja kwa moja. PM kama...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
kitanda . Ukubwa 5*6 Kipya hakijapakwa polish/rangi na chaga zake bado hazijaunganishwa . godoro Comfy inch 6 limetumika kidogo <mwezi mmoja Bei ya vyote 150k (laki na nusu) napatikana dar...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
I phone 5s inauzwa...bei ni 170 ipo in a good condition GB 32 haina shida yoyote ilee LOCATION ni GOBA CENTER cont 0786774828
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Nahitaji machine ya A5 2017 tufanya biashara Nipo Dar tutafutane 0652682718 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Je ungependa kujenga kwa utaratibu wa ramani, basi usisite kunialika kuja site kuchukua vipimo na kukuandalia mchoro wa ramani kwa vipimo na kujua gharama za majenzi pia.
26 Reactions
365 Replies
165K Views
Kama bango linavyojieleza, piece 100,000 za mask zinazoziba pua na mdomo zinahitajika haraka. Kama unazo nicheki PM biashara ifanyike. Niko Dar es salaam
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Msaada wadau, Natafuta magunia (viloba) kwa ajili ya kuwekea mazao. Hasa yale ya 100kg kwa bei ya jumla. Mwenye kujua bei. Navitaka hapa kwetu Sumbawanga. Asanteni. Tuma Meseji 0620 484 081...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Sijawahi kununua friji, haya mambo ya corona sasa yananilazimisha. Naomba maelekezo, aina zipi za friji ni nzuri na naweza kupata mojawapo duka gani Kariakoo kwa bei nafuu? TZS ngapi?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
nauza mashine ya kukamua juice ya miwa sh laki 5 ipo katika hali nzuri location chanika Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari nahitaji air compressor na car washer machine kwa ajiri ya biashara naomba ushauri ni aina gani itanifaa kwa ajili ya biashara
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jioni mabibi na mabwana. Matumaini yangu mko salama salmin. Ninaleta kwenu hizi dumbbells zangu ninazoziuza. Sifa: 1. Ni pair moja ya dumbbells branded 2. Ni adjustable, unaweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu Nauza kiwanja kipo chanika buyuni block 25 Kiwanja kina ukubwa wa sqm 316 Kimepimwa kina hati Urefu:30 Upana:10.5 Bei 2m maelewano Nb gharama za serikal ya mtaa unalipa wewe...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Back
Top Bottom