Niuzie Fiat 682

Triple A

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
766
148
natafuta fiat 682 yenye terius,mwenye nayo au kufaham anayeuza anijulishe
 
vp bandugu hakuna anayeifaham fiat humu hizo gari hazipo tena kwenye ulimwengu huu
 
vp bandugu hakuna anayeifaham fiat humu hizo gari au hazipo tena kwenye ulimwengu huu
 
Fiat 683 N3,zipo zinatumika.Tatizo wenye kuzimiliki hawauzi
 
1453573661897.jpg
 
Duh Kumbe hizo nenda Somalia mkuu zipo nyingi ni kununua na kufufua tu nadhani mpya nadhani ni no more... kiwanda kilishaziliplace na IVECO Truck... why you need this old Truck wakati there is no Country for Oldman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom