Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari ndugu zangu. . Kwa kuwa Hapa JF ni uwanja mpana.wa Watu wengi Na wa kutoka sehemu mbali mbali natumaini Hitaji langu litapata ufumbuzi. Kama kuna Dalali au MTU yoyote kwa Hapa Dar...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari WanaJF! Naomba kusaidiwa Tovuti zitakazo niwezesha kufanya manunuzi ya bidhaa Mtandaoni (Phones & Laptops) hasa katika hizo Nchi za Falme Za Kiarabu na Thailand. Asante Sent using Jamii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ITEM : A4 Legal Paper COLOR: Blue SHEETS: 100 per Ream AVAILABILITY STATUS: {Zipo 8 reams kwa sasa} PRICE: Tshs 8,000/= per ream. LOCATION: Tabata Kinyerezi @Saluni {KITUO} CONTACT...
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Hello, Hii Mashine inauzwa Ipo Morogoro. Kwa mawasilaino 0686666666. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Pure black castor oil ni Mafuta halisi ya Tanzania yatokanayo na mbegu za mnyonyo yenye vimelea vya omega 9 vinavyochochea ukuaji Wa nywele kwa haraka na uhakika, pia huondoa fungus kama MBA na...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Buda Water Pump Dispenser - Ni rahisi kutumia -Ina Rechargeable Battery Inatumia Usb Cable (smartphone charger) kucharge -Inatunza Charge ndani Mwezi Mmoja na zaidi -Kuwasha na kuzima unabonyeza...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Nahitaji mahindi Uzito wa moisture usiozidi 13 Ya zamani ya unga sembe tan hata 100 Bei iwe 680 Hadi 700. Napatikana Dar es Salaam kwa mawasiliano zaidi 0684558213
1 Reactions
10 Replies
2K Views
UTANGULIZI Practical Idealist ni Account maalumu ya mitandao ya kijamii iliyoanzishwa na watu wenye taaluma na uzoefu mbalimbali katika tasnia ya ujenzi mnamo mwezi May, 2020 katika Jiji la Dar es...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Umofia kwenu!! Kuna muda unamaliza ujenzi na materials yanabaki, unatafuta wa kukurudishia gharama kdogo wakati ambapo kuna mdau anahitaji materials hayo hayo ulobakisha akamilishe jengo lake...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Kama bandiko linavyojieleza kwa wale wanaohitaji mifupa (unga wa mifupa) kwa ajili ya kutengeneza vyakula vya mifugo ninapokea order sasa karibuni. Bei ni nzuri. nipo dar es salaam. Mawasiliano...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza kitanda cha chuma futi 4*6 kwa bei ya 250,000 Nipo Dar es salaam kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
0 Reactions
3 Replies
3K Views
SALAMU WAKUU Nauza nyumba yangu, ambayo bado sijaezeka, ina vyumba viwili (Kimoja ni master), pamoja na sebule, Saizi ya kiwanja ni 20M kwa 20M, Nyumba iko Ituha-Mbeya, karibu kabisa na shule ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MODEL: IPHONE 6PLUS COLOUR: SILVER FINGURE PRINT: [emoji818] CHARGER: [emoji818] COVER: [emoji818] PERFORMANCE: Apple A8 STORAGE: 64 GB CAMERA: 8 MP BATTERY: 2915 mAh life 87 DISPLAY: 5.5" (13.97...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu natafuta kinanda cha biashara used cha Tigo Pesa na kuweka baadhi ya biashara zingine, kiwe cha chuma kama hivi ambavyo wanatumia watu wa Tigo Pesa. Kibanda kiwe used, maana bajeti yangu ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Welding machine na grinder machine za Bei nafuu zinahitajika.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tunauza tv aina zote smart na kawaida zote flat screen na pia tunauza spea za tv aina zote na tunafanya matengenezo ya tv. Tupo Machinga Complex ghorofa ya 4 jengo la kwanza kutokea Kariakoo Lindi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
AGIZA NASI GARI TOKA JAPAN KWA GHARAMA NAFUU KABISA* Toyota Belta Year : 2007 Drive : 2wd Trans : Auto Fuel : Petrol Engine capacity : 1290cc Seat : 5 Grade : G [emoji625] Features [emoji625] ...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina uhitaji wa laptop. Najua madenti wa chuo mpo juu ya mawe. Hebu njoo na offer zenu tufanye biashara. Please give brand and features of your laptop.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Karibuni wote Nauza vitenge sh 27000 tu pande tatu kwa kitenge kimoja napatikana Dodoma Nkuhungu karibuni ni kutokea Congo na Nigeria Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom