Habari za muda huu!
Rejea kichwa cha habari hapo Juu sisi ni waagizaji wa smartphones kwa gharama nafuu kutoka China specialized kwenye iphone na Samsung.
Mzigo hutumia siku 8-14 kwa maana haizid...
Habari wana JF kwa muhitaji wa chumba kimoja cha kuishi maeneo ya Mabibo anaweza kuwasiliana nami kwa namba 0672087564/0693785860.
Bei ya chumba ni 50,000 kwa mwezi na inatakiwa kulipwa kodi ya...
Habari wakuu,
Ninatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi...
Hello, je umeanzisha Kampuni au Biashara mpya na unatamani kuwa na website itakayobeba kampuni au biashara yako? au unayo Kampuni au Biashara muda mrefu tu, lakini umekuwa ukitamani kuwa na...
Specification
-Kiwe sehemu tambarare
-Kisiwe mbali sana na barabara (Morogoro road) 800 to 1km
-Kuanzia sqm 500
-Pawe panafikika kirahisi
Kama unacho nichek: 0765 494548 chap chap tufanye...
Salaam wakuu
Ni wapi naweza kupata suti za bei rahisi za 100,000 au 110,000 Lakini classic
Maana nimezunguka Kariakoo nyingi ni kuanzia 150,000 hadi 180,000
Na mimi hiyo hela ya 150,000 sina.
Nauza Sony Alpha NEX-5 14.2MP Digital Camera ipo katika hali nzuri kabisa original box Na inauzwa pamoja na lens zake 2 kama unavyoonekana katita picha imetumika kidogo sana ipo kama mpya bei...
Tunauza vifaranga vya kanga , bata mzinga na kuchi pamoja na mayai.
1: Vifaranga bats mzima cha mwenzi mmoja Tsh 20,000
2:Vifaranga kanga mwenzi Tsh 3,000
3: Vifaranga kuchi mwenzi Tsh 10,000
1a...
Habari nataka kununua kwa bei ya jumla tambi za dengu,Karanga za Mayai,ubuyu mzuri(vinto),krips aina zote (viazi,mihogo,ndizi)wapi naweza kupata tafadhari
Kama Una Pembe za Ng'ombe kuanzia Tani 5 mpaka 10 Tuwasiliane, utupe bei yako, tukikubaliana tunafanya biashara.
Popote pale ulipo Tanzania tupo tayari kufanya biashara na wewe..... Iwe kuanzia...
Fungus au rangi kubanduka kwenye ukuta,imekuwa moja kati ya changamoto kubwa sana hasa kwa nyumba za daresalaam kwa sabab ya
Mchanga au udongo wake una chumvi chumvi nyingi
Maeneo mengine water...
Habari za wakati;
Kwa wale ambao wana hanangaika sana kuhusu aina ya Biashara kiwango cha mtaji na usimamizi wa biashara zao tunawapatia huduma ya ama kuwaandalia a custom business plan au ready...
Habari wakuu,
Natumai ni wazima wa Afya
Tunauza bidhaa toka China kwa bei ya kiwandani...
Kuanzia simu, nguo, saa, viatu, vyombo na urembo wa na vipodozi vya kina dada...
Bidhaa ni za kuagiza...
Kiwanja kinauzwa kipo Mvuti -kiboga, Mvuti ipo katikati ya mbagala na Chanika now kinauzwa kwa tsh 1.2m tu ukubwa 30x16m.kutoka Mvuti stand mpk site bodaboda tsh 2000
0657999034
wadau ni aje,naomba kujua ni wapi naweza kupata matufaa au maapple yale makubwa na gharama zake kwa hapa dar es salaama,au la niwap naweza pata juice ya apple fresh kabisa iliyotengenezwa vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.