Mapembe ya Ng'ombe yanahitajika

Mapembe ya Ng'ombe yanahitajika

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,278
Reaction score
7,142
Kama Una Pembe za Ng'ombe kuanzia Tani 5 mpaka 10 Tuwasiliane, utupe bei yako, tukikubaliana tunafanya biashara.

Popote pale ulipo Tanzania tupo tayari kufanya biashara na wewe..... Iwe kuanzia Grade A, B na C.... Grade yoyote tupo tayari kununua....

Njoo na offer yako mkononi kwa simu.

0688353255.

Karibu.
 
Mimi nina pembe 800 za ng’ombe aina ya nyankole za Rwanda mnatoa bei gani kwa kilo? Ni zile ndefu na kubwa
 
Mimi nina pembe 800 za ng’ombe aina ya nyankole za Rwanda mnatoa bei gani kwa kilo? Ni zile ndefu na kubwa
Pembe 800 zinaweza kufika Kilo ngapi? Na uko Mkoa gani?
 
Toa offer yako iko tani zaidi ya 17
Iko mkoa gani? Umezi grade?
Grade A Tani ngapi? B ngapi? C ngapi?
Unaweza kushare picha na Mimi kabla sijakupa offer yangu?
 
Screenshot_20201006-200722.png

Nahitaji Grade hii
 
Ilianza mayai ya kware, biashara ya sumu ya nyoka, ngozi ya punda na sasa pembe za ng'ombe! Huu ujasiliamali balaa
 
Back
Top Bottom