AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,666
- 2,841
wadau ni aje,naomba kujua ni wapi naweza kupata matufaa au maapple yale makubwa na gharama zake kwa hapa dar es salaama,au la niwap naweza pata juice ya apple fresh kabisa iliyotengenezwa vizuri na kusindikwa kwa hapa dar