Vifaranga vya kuku kuchi, bata aina ya pekin, Bata mzinga , Bata maji , bata bukin Na Indian Runner wanapatikana

makaptula

Senior Member
Oct 28, 2010
199
225
Kwa wale wanaoitaji vifaranga vya ndege tajwa hapo juu tuwasiliane .
Bila kuaahau vifaranga vya kuku chotara mix ya sasso Na kiroila bei ni Tsh 1,500 kwa kuku chotara.
Vifaranga vya bukini, Pekin , Indiani Runner, Bata mzinga , Bata Bukini Na kuku kuchi tuwasiliane.
Napatikana Tanga City. Maeneo ya Pongwe.
Mawasiliano 0762355114
Karibuni sana sana.
 

Steven Nguma

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,076
2,000
Mkuu number yako inasema imezuiliwa sasa tunakutafutaje?tunahitaji bidhaa ulizozitangaza
 

Bonge

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
1,030
2,000
Kuna kitu huwa sielewi .... Hivi kutaja bei ya kitu unachouza ...kwanini huwa inakuwa shida kwa wauzaji wa mitandaoni hapa Tanzania......kwanini watu wasiweke bei kwenye vitu wanavyouza na mtu akupigie simu akiona hiii bei naiweza au siiwezi... Kuliko kusumbuliwa kwenye simu na mtu anakuuliza bei tuu!!!
 

makaptula

Senior Member
Oct 28, 2010
199
225
Kuna kitu huwa sielewi .... Hivi kutaja bei ya kitu unachouza ...kwanini huwa inakuwa shida kwa wauzaji wa mitandaoni hapa Tanzania......kwanini watu wasiweke bei kwenye vitu wanavyouza na mtu akupigie simu akiona hiii bei naiweza au siiwezi... Kuliko kusumbuliwa kwenye simu na mtu anakuuliza bei tuu!!!
Mkubwa uko sawa sawa kabisa. Lakini inategemeana na bizaa zenyewe. Kwa mfano ukianza na kuchi kuhusu bei inategemeana na ubora wa kuku mwenyewe.
So ni vyema kama mtu yuko interested then anatumiwa picha za koo za kuchi na bei zake.
Vile vile kwa bata , hapo kuna bata wa koo mbali mbali.
And kwani broo ukienda kwenye maduka ya nguo ya ni yote huwa yanabandika bei? Au ukifika ukiona then unasema naitaji hii wauza bei gani then mnapatana mnamalizana.
Sioni shida sana.
But price list itatumwa ikiambatana na picha. Worry not and thanks for your advice
 

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,134
2,000
Ungeweka picha ingekua bora zaidi ili kuvutia wateja, hasa picha za hao bata. Maana sisi wengine hata hizo aina hatuzijui.

Naamini bata hawana UBORA kama ilivyo kwa kuchi. Hivyo ungeambatanisha na bei zao pia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom