Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salamaa!! Kwa mwenye kufahamu naweza kupata wapi NCK Box latest na ambayo haichagui simu, yani inaweza kufanya kazi kwenye simu tunazotumia Tanzania naomba anifamishe naweza kuipata wapi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
[emoji625]karibu Bura Jewelys Room ni wauzaji wa hair care,[emoji1622][emoji1622] [emoji625]CALL,SMS,WHATSAPP #0683329132[emoji625] [emoji419] Min blowdrayer 25000/= _v 1000 _inamoto mkali _ina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta mashamba ya kulima mahindi ya kumwagilia Mororgoro yeyote yule mweneye idea wapi nitapata shamba ambalo nitaweza kuchimba kisima na maji yapatikane mwaka mzima anijulishe
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Wakuu katika miangaiko yangu nimejichangachanga hapa nimepata Mil 8 nahitaji kununua ndinga kwa mtu anayeuza tuwasiliane. Vigezo gari iwe katika hali nzuri, ambayo iko chini ya km 100,000 na...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Hiko cha kwenye msingi wa jiwe Chenye bamba 1129 Hicho ktkt ya hiyo duara Ukubwa sqm 611 Ni km 3 tu kutoka City Centre(katikati ya jiji) Kipo mtaa wa Chinyoya kata ya kilimani Dodoma mjini Price...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wanajamvi nauza strobery nzuri kwa wakazi wa mafinga na iringa mjini karibuni Sana, nimelima mwenyewe, 5000 kwa kilo. Namba yangu ni 0719354661
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Salaam Wanajukwaa, Nina shida ya haraka,Nauza inverter pamoja na controller yake vyote kwa pamoja kwa Tsh 250,000/=! Inverter inaukubwa wa 3000W. Kwa alie serious tuwasiliane kwa :-...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
bei 350k imepungua to 300k location mwenge mpakani 0787202143 used Dell latitude e6430 nzuri for gaming and graphic processor :intel Core i7-3520qm clock speed 2.6 GHz and 3.6 GHz with turbo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nauza pikipiki bado mpya kabisa imepaki ndani tu ipo kwenye hali nzur sana ni automatic Pikipiki ipo Msasani fitness Bei ni dola 650. Simu namba 0719590756
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Nipe 50000 nikuachie mtungi na pipe Mahali: Kahama 0755868463
0 Reactions
5 Replies
890 Views
Inauzwa mashine ya kuchomea aina ya CEM SV-260. imetumika lakini bado iko kwenye hali nzuri sana Bei ni mil 1.5 Iko Dar njoo 0763969066 ziko storage nafasi ni finyu sikupata uwezo wa kupiga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nauza mashine ya kusaga na kukoboa nafaka aina ya deer kutoka India. unauziwa mashine ikiwa na mota zake pamoja na control boxes na switches na waya za kutoka kwenye mota kwenda kwenye control...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Printer inauzwa Price 400k Mawasiliano:+255629193839
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Kama Kichwa Kinavyojieleza Kitabu Hicho Kinatakiwa Hela! Kipo Mtwara. Pungufu Unaongea. 0717421125
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari, kwa wapenzi wa ubuyu na wajasiriamali,tunauza ubuyu mtamu wa Zanzibar,tupo Zanzibar na tunautuma mpaka bandarini dar es salaam kwa sh. 28,000 tu kwa ndoo ndogo ya Lita 10.gharama ya...
3 Reactions
60 Replies
14K Views
Tcl led 40d2700 smart tv nch 40 Tcl smart tv full hd resolution ina access ya internet Smart tv, ethernet/wi-fi wireless unaweza connect na simu yako or router na kuacces internet kuperuzi na...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mixer ya kuchanganyia zege nakodisha kwa 70000 kwa siku Mafuta na usafiri juu yako. Ipo Dar es Salaam. Mawasiliano : 0768048752
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Good condition Toyota Rush available for sale. 8.5 Million Tshs . Buy now for 7.5 million (no negotiation) Engine size: 1490cc Manufacture yera:2006 Transmission: Manual Color: Black Fuel: petrol...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Bandeko mwenye ana clear quartz au anajua wapi nitazipata anijulishe tafadhali nazihitaji mno. With much thanks in advance
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom