Ihayabuyaga
JF-Expert Member
- Aug 22, 2011
- 507
- 558
Salaam wananzengo!!
Anahitajika mtaalam wa kujitolea kuandika maandiko ya kibiashara ya kikundi mwenye uzoefu na ujuzi kuandika vitu kama vile business proposal, business plan, company profile, business pitch nk.
Kwa mwenye ujuzi huo na utayari wa kujitolea kufanya hivyo awasiliane nami.
Aksante