Natafuta chupa za plastic kwa ajili ya packaging ya bidhaa

kfc

Member
Aug 1, 2013
5
2
habarini wapendwa wa JF, mimi natafuta chupa za plastic kwaajili ya kufanya packaging ya product zangu za mafuta ya kupaka, naomba kujua ni kiwanda gani wanaweza kunitengenezea chupa hizi,tafadhali mwenye kujua anisaidie,be blessed
 
Mkuu kama upo arusha nisikilize kwa makini sana..
Bidhaa hizo zinapatikana kwenye kiwanda cha bespack kipo arusha..ile njia kama unaenda airport ndogo ya arusha..
ukipanda gari za sakina if am not mistaken mwambie ata konda akushushe kituo cha kiwanda cha chupa za plastic
 
mzee akusikilize vp wakati hujaweka audio?
 
hahahaha..braza read between the lines... nilikua najaribu ku grab attention yake kidogo kwa umakini maana hicho kiwanda niliwahi kukikagua last year, so sisomi direction vizuri ndo mana nataka achukue extra note kwenye little information am trying to gather for him.
 
ha haaa ....umetisha blaza
 
Back
Top Bottom