Ununuzi wa gari ilotumika kwa mtu

swamila

Senior Member
Apr 4, 2015
176
81
WanaJF naomba msaada unaponunua gari kwa mtu kitu cha kwanza kufanya kabla yakuendesha ni kubadili kadi ya gari au ni kwenda police kuandikishana? Pia nasikia kuna mkataba wa kuiziana huo mkataba naupata wapi?
 
Mnatafuta mkataba stationary ipo tu mingi mf kuna mikataba ya kukabidhi pikipiki kwa madereva then mnauedit kidogo.
Sio kazi ata mkataba wa kuuziana viwanja au mashamba ukiupata unaubadilisha.

Kisha mnaenda kusaini kwa hakimu baada ya mashaidi kusaini kazi ya hakimu ni kupiga muhuri tu mnampatia chake anasepa.

Baada ya hapo mnaenda kukabidhiana yani unampa pesa zake yeye anakupa Gari yako na kadi. Pia hakikisha gari ina tairi ya spear jeki, na fire extinguisher kuna watu n wahuni anaweza kuviondoa makusudi kama hufahamu.

Pia kabla ya kumpatia pesa yake unaweza kwenda polisi kwa motorvehicle inspector anakagua gari kujua matatizo yake MF. Engine no na chassis no kama zinaoana.

Mwisho angalia iyo Gari kwa njia ya simu kama kweli haidaiwi siku hizi kuna motor vehicle insurance feki na road licence feki. Natumai nmekuelewesha kiasi.

Kadi ya gari unapaswa kubadili ni kitu cha dakika chache na ni jambo la mwisho katika kununua Gari.

Pia kwenye mkataba sio lazima kuandika bei halisi ili kuepuka gharama za kubadili umiliki wa Gari. Kua makini kuhusu huu ushauri wa mwisho una changamoto zake ila kama wewe ni mtoto wa mjini aka mkwepa kodi hakuna tabu
 
Ahsante Sana bro swali nawezaje kutumia simu kuangalia Kama haidaiwi?
 
Hivi road license fake unaipataje ili kukwepa ushuru??
 
Unaenda stationery yoyote wanaidesign wanaiprint. Haizidi 2000. Unabandika.

Hata Insurance huwa nafanya hivohivo. Ninazo sticker za insurance kama nne ghetto kutoka kampuni mbalimbali.

Maisha byeeeee.
 
Back
Top Bottom