Elly255 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2017 Posts 883 Reaction score 1,432 Dec 6, 2020 #1 Rejea mada tajwa hapo juu. Chumba cha kupanga kikubwa ft 14 na kuendelea chenye choo ndani, tiles, na gypsum kinahitajika haraka. Chumba kiwe ndani ya fensi yenye geti. Bajeti 100k kwa mwezi. Kama unacho njoo PM mapema
Rejea mada tajwa hapo juu. Chumba cha kupanga kikubwa ft 14 na kuendelea chenye choo ndani, tiles, na gypsum kinahitajika haraka. Chumba kiwe ndani ya fensi yenye geti. Bajeti 100k kwa mwezi. Kama unacho njoo PM mapema