maisha yanabadilika sana, ubusy wa kazi na ukuaji wa miji unatufanya wakati mwingine tufanye kazi muda mrefu na kufika nyumbani muda ukiwa umeenda sana, lakini bado haipaswi kuwa excuse ya...
Mimi ni mtaalamu wa umeme na vifaa vyake(Electrical and Electronics)
Nimekua niki-design vifaa mbali mbali vya electronics kama vile kifaa cha kuongeza umeme maeneo yenye umeme mdogo.Wengi wenye...
Hizi ndio sehemu zangu bora nilizokula chipsi nikaenjoy kwa mwaka huu 2020.
1. American chips-- kinondoni
2. Kwa mpemba-- k/nyama
3. sele bonge : Morocco
Haya leo tutajiane sehemu zingine bora...
Nauza tecno spark 2 ROM gb 16 RAM 1 kwa sh 160000 tu nimeitumia miez michache ipo vizuri kila kitu na imenyooka haina kipengele chochote nipo Mwenge Dar 0672904720
Karibu jipatie high sound quality speaker aina ya W-KING kwa bei nzuri
.
Zipo mbili tu, wahi mapema
PRICE: 230,000
CONTACTS: 0744277050
LOCATION: DAR (KINONDONI)
Habari ya muda huu wakuu..,
Poleni na majukumu ya Kila siku, bila kuwachosha nimekuja Kuna canter tan 3 inauzwa Bei ni sh. 16,500,000/- iko katika hali nzuri kabisa na sio ya udalali ipo nyumbani...
Habari wakuu,
Nahitaji kupanda mlima Kilimanjaro mwezi wa 11 mwaka huu, kama kuna mtu anaweza kuniunganisha na tour company/mountain climbing company ambayo ina gharama nafuu nitashukuru sana...
1.Mitaa inayonifaa ni Mbezi Louis na Msigani.
2.Nyumba isiwe mbali na kituo cha daladala.
3.Umeme wa kujitegemea.
4.Maji yawepo.
5.Kodi nina Tsh200,000/= kwa mwezi, niko tayari kulipa miezi sita.
SHAM AUTO MOBILE HEADLIGHT COMPANY Ltd 2021/2022
Tumezalisha awamu nyingine ya lenzi mbadala kwa taa za gari aina ya TOYOTA IST kwa bei nafuu sana
kwa seti gharama ni 240,000
OFISI ZETU ZIPO...
Habari wakuu ninauza school bags nzuri za watoto katika kipindi hiki cha kukuandaa na shule bei zetu ni nafuu na mabegi ni mazuri na imara. Kuna size kubwa na ndogo na bei ni moja haijalishi size...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta wachimba visima vya maji na pia watengenezaji wa mabwawa ya kisasa ya samaki kwa kampuni zilizopo Mtwara ama zinazoweza kufanya kazi huko
Habari za 2019 wanaJF,
Natumai mko vizuri na tunaendelea vema mwaka huu.
Nahitaji kununua Laptop kwa matumizi ya kawaida, ingawa mara chache nakuwa na matumizi heavy kidogo. Natumia software...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.