Kwenye uhitaji wa mzani wa kupimia wa mawe anicheki PM bei ya kuanzia ni 110k ni umetumika miezi michache tu so bado mpya kabisa ,napatikana Morogoro mjini
Wadau wawekezaji tuna eneo geza ulole kigamboni linauzwa kwa heka kwa atayehitaji awe mwekezaji au mwananchi tu wa kawaida kuna heka zaidi ya 600/karibuni sana.
Lenovo X 130 Hdd 320gb, ram 4gb, battery 3 hours, price: tzs 350,000 ya wiki hii kabla ya wikiend. Tuko Kariakoo jirani na China plaza
piga 0713039875 kuwahi ofa hii
Nina gari Aina ya Nissan vannete NZ 200.
Nataka niitoboe juu Ili niweke dirisha ambalo linaweza kutumika kuangalia nje.
Nawaza kutumia ambalo limetoka kwenye gari ambalo halitimiki.
Mfano...
Mpendwa Mwana Jamii, nimekuwa nikitanganza kazi zangu mbalimbali hususani majengo ambayo yamenakshiwa na material za kisasa mbalimbali.
Nashukuru Mimi na team yangu tumepata ushirikiano wa...
Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO ( nchini kote) Kutoka Asasi ya PDPR Njombe, Gharama za mradi:kuchimba laki 5, kama kitakuwa ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000ukihitaji...
habari wana JF, Kuna nyumba kubwa inapangishwa maeneo ya survei, ni kama dakika tatu toka mlimani City. nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo ni master, sebule...
Wakuu habar zenu.Nahtaji vyumba viwili vya kupanga viwe katika hali nzuri na viwe katika maeneo niliyotaja.Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa 0717478451 na0717465686 asanteni
Wakuu habari zenu,
Natafuta vyumba viwili vya kuishi, maeneo ya tabata, kinondoni na maeneo ya kimara.
Kwa mtu mwenye uwezo wa kunipatia anicheki inbox
Toyota Corola Dx Details
Cc: 1500
Color: White
Transmission: Manual
Engine: 3A-U
Taarifa za Ziada
Tairi: Nzima na Mpya
Body nzima ila Kuchomea sehemu chache (angalia picha)
Vioo: Vyote vizima...
Naweza kusema kwa sasa, route ya Dar-Mwanza Ally's wamedhamiria kuibinafsisha. Hizi sasa ni sifa🙌🙌.
Sioni kampuni yakuitishia ally's kwa sasa( kwa mbali labda Tanzanite na Happynation)
All in all...
Nimefika tanga mjini jana, na nina kazi kama ya mwezi mmoja au miwili hivi, natafuta chumba cha kujihifadhi kwa huo muda nitakaokuwepo.
Msaada wa kiushauri na maelekezo naomba sana.
Natanguliza...
Habari wapendwa!
Karibu nikufanyie data analysis bure kwa mahitaji mbalimbali.
Inawezekana una repoti kazini,shuleni, au chuoni,
Inawezekana unataka kujua ufanisi wa mradi wako kwa kadri ya...
Habari za muda wadau wangu... Nawatangazia kuwa ninauza viwanja viko mjini wilayani Chato kingine kizuri sana kinatazama ziwa Victoria. Fanya mawasiliano haraka kwa Na. 0764601903 ndani ya siku...
Ipo Kinyerezi Mbuyuni ina vyumba viwili vya kulala, kimoja ni master, jiko, sitting room, ipo ndani ya fensi, maji yapo, kodi ni 250000, karibuni sana, mawasiliano 0782239344
Salaam,
Kiwanja kipo Bunju B (upande wa kushoto ukiwa unaelekea bagamoyo)
kipo karibu na nyumba za TBA
Kina ukubwa wa sqm 1628
Kipo sehemu tambarare (angalia picha chini)
Kiwanja kina hati Maliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.