Nini ufanye unapohisi mwili una mabadiliko?

Nini ufanye unapohisi mwili una mabadiliko?

hatym

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
513
Reaction score
179
maisha yanabadilika sana, ubusy wa kazi na ukuaji wa miji unatufanya wakati mwingine tufanye kazi muda mrefu na kufika nyumbani muda ukiwa umeenda sana, lakini bado haipaswi kuwa excuse ya kukuzuia kuwa fit, leo nakueletea vifaa vichache ambavyo unaweza kutumia muda wako japo dkk 30 mpaka 40 ukiwa nyumbani na kufanya mazoezi


1. Treadmill
IMG_4892.jpg


hii ni mashine maalum ya kukimbia au kutembea, kizuri kuhusu mashine hizi hupima maendele ya taarifa zako kama ,
-kiwango cha mafuta ulichochoma (calories)
-speed
-distance covered
- na mapigo ya moyo
ukitumia dakika 30 mpaka 45 katika mashine hii angalau mara tatu kwa wiki utaweza kuwa active na mwenye afya
mashine hizi unaweza zipata Fitness Empire
kwa gharama ya tsh 1,500,000 inayobeba mpaka uzito wa kilo 100
2,500,000 inayobeba mpaka uzito wa kilo 130
na 3,800,000 inayobeba mpaka uzito wa kilo 150

2.kamba ya kuruka
tumia muda wako kuruka kamba , kamba huwa zipo za aina tofauti hii hutegemea na mapendekezo ya watu, wapo ambao hupenda kamba nyepesi na wapo hupenda nzito,
tunashauri mara nyingi kwa beginner (wanaoanza) waanze na nyepesi,
gharama za kamba nzuri huanzia 15,000 mpaka 25,000
IMG_7866.jpg

IMG_7865.jpg


3.mattress
hichi ni kigodoro maalumu kwa wanamazoezi na ni muhimu sana kukitumia kwani hukupa nafasi ya kuulinda mgongo wako na kukuepusha na sugu sehemu kama magotini,kiunoni na mikononi

mazoezi yako mengi ya tumbo yatahusisha kifaa hiki
IMG_7868.jpg

IMG_7867.jpg

matt unaweza zipata Fitness Empire kwa tsh 55,000 tu
delivery ni bure mpaka ulipo kwa dsm

4. roller ya tumbo
hii ni muhimu kwa kukusaidia kujenga muonekano unaoutaka na kupunguza kitambi
anza pole pole na cha msingi zingatia posture yako namna unavyofanya usije ukaumiza mgongo
IMG_7870.jpg


IMG_7869.jpg

roller hizi unaweza zipata kwa tsh 45,000 tu

5. Dumbells (uzito)
matumizi ya uzito hutegemeana sana na malengo ya mtu
kwa mwanamke anayelenga kupunguza na kutone mikono yake tunashauri atumie kilo 2
IMG_7838.jpg


kwa mwanaume tunashauri atumie kuanzia kilo 7 kwenda juu
bei za dumbell huwa hivi
IMG_7871.jpg

Kilo 3 set 80,000
Kilo 4 set 90,000
Kilo 5 set100,000
Kilo 6 set 110,000

20kg set 350,000
17.5 kg set 300,000
15kg 270,000
12.5 kg 220,000
10kg 200,000
7.5 kg 180,000

kwa ushauri zaidi usisite kututafuta
0758728258
0718327776
tupo sinza kijiweni
unaweza kutufollow instagram fitnessempiretz pia kuona vifaa namna vinavyotumika kupitia link hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom