Natafuta mafriji ya mtumba Dar es Salaam

Natafuta mafriji ya mtumba Dar es Salaam

kindoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2018
Posts
213
Reaction score
218
Wadau, natafuta friji au friza la mtumba kwa hapa DSM
 
K.koo Aggre na Masasi st.
Tarajia Matumizi makubwa ya umeme.
 
Nenda Magomeni Mikumi Hapo Yapo Tele Utachoka Mwenyewe
Ama Kariakoo Ilipo China Plaza Kwa Nyuma
 
Kwanini mkuu, likishatumika inakuaje lile umeme zaidi?
Mifumo yao ya Umeme ni ya kizamani, Sio energy efficient,

Freezer za sasa zina mifumo mingi kwa ajili ya kupunguza matumizi ya umeme kama insulation nzuri, compressors iliyoboreshwa na mfumo wa kisasa wa kucontrol Joto na upoaji.

Zote hizo ni kwa ajili ya kupunguza matumizi ya umeme ili kuendana na energy demand ya sasa.
Za Mtumba sababu nyingi ni old hazina hio kituu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom