Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 109
Habari za 2019 wanaJF,
Natumai mko vizuri na tunaendelea vema mwaka huu.
Nahitaji kununua Laptop kwa matumizi ya kawaida, ingawa mara chache nakuwa na matumizi heavy kidogo. Natumia software mbalimbali, games etc.
Bajeti yangu ni hiyo, naombeni ushauri wenu wa Brand ipi ya Laptop ninunue, Wapi kwa DAR naweza kupata Laptop mzuri, bora na Imara ambazo ni aidha NEW au REFURBISHED.
Lakini pia zenye sifa zipi mzuri kitaalamu.
Nimezowea kutumia HP na DELL, unaweza kunishauri vinginevyo. Ila kwenye issue sijui za Processor, CPU, HDD/SSD, Battery etc ndiko ninahitaji zaidi coz sina uzoefu huko na nimesikia huwa zina athari kubwa kwenye performance ya Computer.
Ahsante!
CC: Chief-Mkwawa
Sent using Jamii Forums mobile app