HOMEBASE SMART TV INCH 43 FULL HD
INATUMIA:
HDMI PORTS 2
USB PORTS 2
VGA
AUDIO INPUT
INAINGIA:
You Tube
Netflix
Location: ubungo external.
Nipigie: 0744033555
Habari zenu wakuu,
Nahitaji kusafairisha kiroba cha kilo 50 (nguo) kuepeleka OMAN. Nipo Dar, ila kama hiyo kampuni itakua na branch Zanzibar itakua vizuri zaidi.
Mwenye kufahamu naomba anijuze...
Wapendwa wana JF,
Mimi ni mdada mjasiliamali mdogo, natafuta vijana wa kuniuzia dagaa zangu za kukaanga natoa Mwanza naleta Dar, nimezipack na kuzibland vizuri, ntawalipa kwa commission nzuri...
Ndugu wana JF, karibu ujipatie barakoa safi kabisa kwa bei chee. Tunauza Tsh 55,000 tu kwa Box lenye barakoa 50 ndani. Ndani ya Jiji la Dar utaletewa hadi ulipo, na mikoani tutakutumia kwa njia ya...
Nikiri kufaidika na michango yenu kwa jukwaa hili.
Kuna kifaa kinaitwa Respby pi (pichani) nataka kutumia kuanzisha program ya kuaccess masomo bila internet.
Naomba kujuzwa kinapatikana wapi...
Habari wadau!
Nauza kiwanja changu mwembe mdogo kigambo mbele kidogo na ya Dege umbali kutaka Ferry nikama km 25 kufika kwenye kiwanja.
1.UKUBWA hatua 70 kwa 70
2.MUONEKANO...
Nauza kiwanja
Kipo kinyerezi karibu na sheli ya Victoria
Ni dk1 tu kutoka barabarani
Bei mil 23 maongezi yapo
Kina ukubwa wa Mita 45*35*25*10
Hata mwenye pesa pungufu anaweza kulipa Kwa awamu so...
Habari wadau nina tv yangu Samsung led mtumba ilizima gafla nimeangaika kwa mafundi nimeshindwa naweza pata fundi mwenye utalaam na hzi tv za mtumba kwa sasa ukiwasha inawaka pia kioo kinaonesha...
Umofia wana JF-GT, Heri ya mwaka mpya,,
Nauza vifaa vya maabara ya binadamu hivi vinawafaa wanaopenda kuwekeza kwenye biashara ya Maabara (Diagnosis health center)
Vifaa ni vipya kabisa na...
SuperGro ni mbolea ya kioevu ya kioevu ya 100%, ambayo imetengenezwa kutoka kwa kinyesi cha kuku na guano ya ndege wa baharini. Kufanywa kutoka kwa vitu vya kikaboni bila kemikali kabisa...
Wana Jf,
Ninahitaji mtaalam ambaye anauwezo wa kukata miti iliyooitiliza urefu pembeni ya nyumba mi ashoki imekuwa mirefu unajua iko pembeni ya nyumba inahitaji utaalam naomba mwenye ujuzi huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.