Kiwanja kinauzwa Jiji la Dodoma , kipo eneo la swasa mnarani , Kiwanja kina ukubwa Wa eneo SQM 1200. Kipo pembeni ya njia ya barabara ya kutoka kwa waziri mkuu kuelekea martin Luther . kina...
Wakuu nauza gari tajwa hapo juu
Reg: T---DFT
Toyota Ractis
Colour: Pearl white
Year of Manufacture : 2005
Engine Capacity: 1490cc
Condition: Perfect running condition with no accident history
Fuel...
Cc 990.
Engine iko vizuri.
AC inafanya kazi.
Inafanya uber mpaka sasa.
Imetunzwa vizuri tu haina tatizo
Njoo na 5.6mil uchukue chombo
Mbezi Dar es salaam: 0744033555
Salaam wana JF.naombeni mrejesho wa picha wana jf niliowapa bure Miche na niliowauzia Miche ya Papai maana ni miezi kadhaa sasa .pia natoa bure huduma ya Ushauri juu ya kilimo hiki cha Papai ,pia...
Habari za wakati huu wakuu, naomba tenda za kutengeneza matangazo madogo madogo kwa ajili ya kukuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii, pia napiga picha za kupromote biashara yoyote ile...
Habari za jioni wanabodi.
Natafuta eneo la kukodi kwa ajili ya biashara ya gereji jijini Dar Es Salaam.
Maeneo pendekezwa
Buguruni
Tabata
Kinyerezi
Natanguliza Shukran zangu za dhati kwenu...
Kama kichwa kinavyoeleza Hapo naunza mpunga mzuri, upo Tabora gunia za debe saba zipo gunia za kutosha hata kama unahitaji magunia 400 hakuna shida
Bei ni shilingi 65,000 tsh kwa gunia
Kwa...
Kama kichwa cha habari kilivyo,
Naomba kuuliza gharama za kukodi costa kutoka Dar kwenda Bukoba kwenda na kurudi huwa ni sh ngapi? Anaejua aniambie tafadhali.
Nitashukuru sana.
Fallyjan22
1.Sandals za Kike kwa kiume zipoo
2.Simple za kike zinapatikana
3. Mafuta ya Nywele yapoo piaa...:Mzuri sanaa yani. Nywele zinajaa na kuwa nyeusi fresh yani.
4.Kwa Wale Mnaohitaji...
Tunatoa huduma za ujenzi zifuatazo:
1.Ramani za nyumba (Architectural & Structural drawings)
2.Tunaandaa gharama za ujenzi(B.O.Q)
3.usimamizi na ujenzi wa nyumba,sheli,na aina yeyote ile ya...
VIWANJA KWA MALIPO YA AWAMU
_______________________________
NIMEWALETEA VIWANJA KWA MALIPO YA AWAMU KATIKA ENEO LIITWALO MICHESE,NAOMBA TUIFAHAMU MICHESE KWANZA KWA KUSOMA MAELEZO HAYA...
- Warranty ya mwaka mmoja.
- Linatumia nusu ya mkaa wa kwenye jiko la kawaida.
- Imara linadumu kwa zaidi ya miaka 4.
- Linashika moto kwa haraka.
- Price = 130,000 Tshs.
- Free Delivery.
-...
Pata wireless CCTV camera zenye umbo la bulb (spy camera) zinazotumia memory card kwa offline mode au WiFi kwa remote monitoring.
Zinawaka kama bulb za kawaida hivyo ni ngumu mtu kuzitambua kama...
Habari zenu wakuu.
Tunapenda kuwafahamisha kuwa tuna wazoefu wanaoweza kuandaa vitu vifuatavyo:
1. Proposal za aina zote (Za biashara, miradi, vipindi vya TV na redio, promotion, N.K)
2. Report...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.