Kiwanja Dodoma

Kiwanja Dodoma

mwagito25

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
633
Reaction score
352
Kiwanja kinauzwa Jiji la Dodoma , kipo eneo la swasa mnarani , Kiwanja kina ukubwa Wa eneo SQM 1200. Kipo pembeni ya njia ya barabara ya kutoka kwa waziri mkuu kuelekea martin Luther . kina nyaraka zote za serikali zilizo halali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ENEO LILILOPIMWA LINAUZWA ILAZO EXTENSION.

Size: 560 SQM,

Lipo pazuri saana. Kwa mawasiliano zaidi 06782276767.. karibu ujipatie fursa
 
maelezo yako hayajitoshelezi, umeshindwa hata kuweka na picha au unadhani kusema tu lipo pazuri sana ndo inajitosheleza!!
Sawa boss ingawaje picha kwa upande wa ardhi unaweza kudanganywa, majengo, vitu nk picha ni sahihi.

Kwa ardhi kikubwani kwenda kuiona ndio inaweza kukupa uhalisia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom