Majiko Imara (Jikokoa) Yanapatikana Hapa.

Majiko Imara (Jikokoa) Yanapatikana Hapa.

Mariam Peter

Member
Joined
Apr 19, 2020
Posts
28
Reaction score
8
20210130_105426.jpg


- Warranty ya mwaka mmoja.

- Linatumia nusu ya mkaa wa kwenye jiko la kawaida.

- Imara linadumu kwa zaidi ya miaka 4.

- Linashika moto kwa haraka.

- Price = 130,000 Tshs.

- Free Delivery.

- 0688006640
 
Originally yametumiwa sana Kenya, na yanazalishwa huko pia. So usishangae kwanini kwenye boksi imeandikwa gharama ya mkaa ni Shilingi 50.

Pia ikionyesha kwamba kutokana na kutumia jikokoa unaweza okoa mpaka shilingi 18,000.

Kwa Tanzania inamaanisha unaweza kuokoa zaidi ya shilingi 360,000/= kwa kutumia jikokoa.

Karibuni.
 
Namna ipi inatumika kuokoa mkaa usitumike kwa wingi Mariam?
 
Kumbe uishaji wake ni ule ule tu na matumizi ni yaleyale tu maana utaongeza mara kwa mara.
Hapana. Kama utakua unaongeza mara kwa mara kutakua haina haja ya jiko kama hili.

Hili jiko kutokana na kushika moto kwa haraka hata upishi wake hua haraka pia. Yaani inatakiwa uwe umeandaa unachotaka kupika kabisa kabla haujaliwasha tofauti na majiko ya kawaida ambapo mpishi huweza kuandaa vitu akisubiri jiko likolee moto.

Pia baada ya kushika moto kwa kiasi hicho hichi kidogo cha mkaa unaweza kupika chakula chako mpaka mboga na zaidi.
 
Back
Top Bottom