Nauza nyumba Dodoma nkuhungu north,
Ina master moja ,vyumba viwili vya wageni,jiko, choose cha public, stoo, choo cha nje na jiko la nje. Ipo karibu na barabara itayojengwa ya kupitisha magari ya...
Wasalaam!
Wakuu, naomba kujuzwa sehemu ninayoweza kupata mbegu za viazi lishe kwa mikoa ya kanda ya mashariki (Dar es salaam, Pwani au Morogoro).
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums...
Habari!
Mkulima Mwerevu Agrovet inawatangazia wakulima wote wa mboga mboga kuwa sasa wanazo mbegu nzuri za kisasa (Hybrid Seed) kwa ajili ya wakulima.
Msimu wa kuandaa mashamba ndo huu...
Kwa yeyote anyeweza kusuply 1600 za amlinium ingot tuwasiliane Kwa number +256788282409.
Sio lazima ziwepo hapa Tanzania.
Hata ukiwa ukifaham kiwanda kilichopo nje.
Karibu
Habari za leo wakubwa,
Ndugu yenu bado naendelea na kazi ile ile ya kudesign ramani mbalimbali.
Leo nimekuja na hii design yangu ya kipekee ya nyumba ya vyumba vinne. Unaweza kujionea mwenyewe.
Wakuu, nimebadilisha life style, sasa napenda kuangalia documentaries hivyo nataka kununua vifaa vya kisasa vya kielektroniki vyenye viwango vya kimataifa.
Sasa nimeshauriwa kua kuna home theater...
Zakutumia umeme sh.2500,000,Zile ambazo hazitumii Umeme zinaanzia sh.270,000 hadi sh.450,000,Nipo Dar es salaam,Kariakoo Mashine ziko tayari unafika unalipia kisha unaondoka na mashine...
Wakuu kwema
Nahitaji toyota IST isiwe na tatizo lolote namba iwe C nakupanda juu, Bajeti yangu ni 5M Njoo chapa tufanye biashara.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Wakuu,
Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri.
Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari...
habari za Leo wakubwa,
Leo nimeamua kuleta karamani kakali kidogo unaweza kujionea mwenyewe. Haka karamani kana vyumba vinne. Ila chumba kimoja ni kidogodogo kinaweza kutumika kama study room au...
Wakuu naomba mwenye contacts za madalali wa nazi katika soko la ILALA na Temeke stereo. Asanteni sana
Hello wakuu, nina shamba la minazi huku Kilwa nimevuna takribani nazi 8000, kama kuna...
Habari Wakuu
Natafuta gari Toyota IST yenye sifa hapo juu, offer yangu ni kuanzia 7m mpka 8.5m,
Gari iwe katika hali nzuri, rangi silver, Gray, dark na light blue,
Kama mtu anayeuza atakua ndio...
Niaje..
Wale wanaotaka Xiaomi smartphone ninazo redm 7 Global pic 19.
Bei ni 380000 sealed box . New
Specifications read here Xiaomi Redmi 7 - Full phone specifications
Ukiihitaji ni Pm .
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.