Nauza mpunga upo mkoani Tabora

Nauza mpunga upo mkoani Tabora

Mwanambugulu

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Posts
683
Reaction score
860
Kama kichwa kinavyoeleza Hapo naunza mpunga mzuri, upo Tabora gunia za debe saba zipo gunia za kutosha hata kama unahitaji magunia 400 hakuna shida

Bei ni shilingi 65,000 tsh kwa gunia
Kwa maelezo zaidi piga simu kwa namba

0620 466 351
Karibuni.


IMG-20210131-WA0000.jpg
 
Tabora ni kubwa mkuu unapaswa kusema tabora wilaya gani?
Stock ipo Tabora mjini hapa hapa mkuu nimeshausogeza kutoka maeneo ya skonge kwaio mzigo upo mjini kabisa
 
Mpunga! ?? Koboa kwanza kamanda.
Umeliona hilo?!!!mkuu hakuna biashara ngumu kama ya kununua mpunga!!unaweza kuja kulia kilio ambacho, bora ushambuliwe na brigedia nzima , huwezi lia hivyo!!kwa wajuzi wa biashara hii tunajua nini hutokea pale una pokuja kuukoboa!!!
 
Back
Top Bottom