Natafuta jukebox | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta jukebox

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Baiskeli, Jun 2, 2011.

 1. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Natafuta juke box iwe mpya au used, naomba unipe na bei yako, unapatikana wp? Vile vile hataukinisaidia kwamba zinauzwa wp utakuwa mtu mwema maana sijui wapi zinauzwa hizi vitu hata kama nje naombeni mnjuze.
   
 2. Sailor Boy

  Sailor Boy Senior Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me nnauza sub woofer! Ila inakatundu kwa nyuma m2 anaweza aka2mbukiza vijisent kama coin so ka vp unaweza uka apply kama jukebox
   
 3. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu hiyo kitu utasumbuka kuipata Bongo,unaweza kuipata rahisi kwenye mnada wa ebay mfano hapa: cd jukeboxes | eBay UK


  Kama una jamaa ni mwanachama wa Ebay mtume akununulie na akusafirishie, au kama vipi tugaie tenda tatafanya kazi.
   
 4. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hebu sema itagharimu how much? Kwa kuifanya ww?
   
 5. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ebay ni mnada kwa hio ukibahatika unaweza kulipata la rahisi na wakati mwengine linaweza kukugharimu vilevile kulingana na jinsi gani limetumika (condition) lakini la standard kwa kukisia unaweza kulipata kuanzia £150 mpaka £400 plus usafiri mpaka bongo £50 sasa piga hesabu exchange rate na likifika huko mambo ya ushuru ni juu yako. Itakavyokuwa gharama zote kuanzia manunuzi zitakuwa open kwenye invoices ( No hidden cost) Mimi utanigea tu ahsante kama buku 50 walau mamdogo abadili mboga.:dance: Kama vipi ni PM.
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  :majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
   
Loading...